Shida nini mkuu kuleta hizo Quote , ?
Huyu kocha ni wa ovyo sijapata kuona toka nizaliweKuna siku Emery anahojiwa anasema game mbili za Wolves na palace tulizo draw msimu huu hapo Emirates na kupata point 2 eti tumejitahidi, kwa sababu msimu uliopita tulipata point moja hapo emirates. Aisee nilicheka nikasema kweli kocha tunaye [emoji3][emoji3][emoji3].Leo hii eti kudraw na palace au na wolves tumejitahidi.
View attachment 1272734
Tuwe na iman na kocha kama uko nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16]View attachment 1272736
Unazingua mkuu,
Pepe hana tatizo, kama wachezaji wanalalamika hakuna mfumo sahihi wa timu ,
Sasa pepe ata shain vipi, kocha kafeli kutengeneza midfielder ya kuwalisha kule mbele
Pepe alirudi vzr tu kwenye form , baada ya kufunga magoli mawili , cha ajabu akapigwa bench karibu mech 3 , sasa mchezaji ata improve lini ?
Kama alivyoamua Pulisic juziMbali na mfumo pia mchezaji anatakiwa aonyeshe kiwango/uwezo wake binafsi, aamue matokeo ya match.
Naona wameshawishika na mwendelezo wa Gaby MartinelliHii timu ni bora tujaze wabrazil tu watatusaidia[emoji16][emoji16]
Hahahahahahaaa dah umenifanya nicheke sanaKuna siku Emery anahojiwa anasema game mbili za Wolves na palace tulizo draw msimu huu hapo Emirates na kupata point 2 eti tumejitahidi, kwa sababu msimu uliopita tulipata point moja hapo emirates. Aisee nilicheka nikasema kweli kocha tunaye [emoji3][emoji3][emoji3].Leo hii eti kudraw na palace au na wolves tumejitahidi.