Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ornstein [The Athletic Q&A]: "Arsenal completely reject suggestions they are looking at potential replacements for Emery. Whether or not that's true, they can't say anything else."
 
News
Screenshot_2019-11-18-15-11-12.jpeg
 
Ornstein: "We know the club are behind Emery but we don't know what it would take to change that. Anything other than victory over Southampton would feel grim, but there are so many factors to these situations (dressing room, circumstances, contracts, project etc etc)."
 
The father of Brazilian talent Reinier has been on a “tour” of the facilities of four European clubs — one of which was Arsenal (others: Real Madrid, PSG, R. Madrid).

A. Madrid and Barcelona have also shown interest in the 17yo Falmengo attacker. [@mundodeportivo] #AFC
IMG_20191118_153635.jpeg
 
According to Fanatik, #Arsenal are leading the race to sign Juventus defender Merih Demiral & are ready to offer €40m for him.
 
#UKWELI UMUWEKA MTU HURU MAPENZI HAYASAIDII KUFICHA UKWELI

Binafsi naamini katika mambo kadhaa ili team ziweze kuwa kwenye ubora kwanzia mchezaji mmoja mmoja adi team nzima

Wachezaji uwa wapo aina mbili vipaji asilia( #natural #talented)na vipaji vya kutengenezwa ( &man #made #talented) licha ya kuwepo aina hizi mbili wote hawa kwa wenzetu huko uandaliwa #academy

Na kufanywa kuwa #developed kwa kile walicho nacho ndio maana kwa wenzetu ni sheria( legal) team kuwa na team za vijana ok

Je nini tafsiri ya nilichozungumza juu uko ni kwamba kocha ana nafasi kubwa tu kumfanya mchezaji kuwa bora zaidi. academy mfano la masia au castilla awachezi tu bali wana wakufunzi wa kuwasaidia kuwa bora

Vivyo hvyo ata senior team ili mchezaji awe bora hawezi kujitegemea yeye tu bali kuzingatia ni kipi anaelezwa na mkufunzi wake

Unaposema #tactics au #philosophy hizi zinajengwa kulingana na uwezo wa mchezaji ulivyo na hii inamfanya afanikiwe zaidi

Sasa nashindwa kuelewa mtu anaposema wachezaji wa arsenal ni wabovu ila kocha ni bora haya ni maajabu

Jukumu la kocha sio kupanga tu wachezaji bali kuwafanya kuwa bora zaidi ndani ya mifumo yake kiuchezaji hvyo wachezaji wanakuwa developed chini ya kocha na sio wao wenyewe

Je mifumo iliyopo arsenal imedevelop nani kama wachezaji wako underperformances tatizo linaanza kwa mkufunzi ni effort gani kaweka kuwafanya kuwa bora

Leo hii ukizungumzia mane huyu basi kawa developed zaidi chini ya klopp unapozungumza historia ya ronaldo basi uwezi acha mtaja fergason yeye mwenyewe anamuita baba

Kama kocha hana nafasi kukuza kiwango ata academy hazina maana watu watoke tu kitaa waje kucheza kwa vile wanaweza

Mpra una njia zake mpra ni science na sio politics una formular

Aaron
Hata Salah pamoja na Wachezaji Wengi Wa Liverpool Wamekua Bora sana Chini ya klop,.

Klop Katengeneza Mfumo Ambao Wachezaji wake Wanafit,.
 
Hata Salah pamoja na Wachezaji Wengi Wa Liverpool Wamekua Bora sana Chini ya klop,.

Klop Katengeneza Mfumo Ambao Wachezaji wake Wanafit,.
Hiyo ndio maana ya timu kuwa na kocha, sio kocha anarudisha viwango vya wachezaji nyuma, halafu unakuta eti anasema "we need time"....mimi nadhani huwa anamaanisha "we need time to destroy everything in this club."
 
Pablo Bentancur (Wakala wa Torreira):

“Ilikua ngumu kumuuza Torreira kipindi kile (dirisha lililo pita), lakini kwa sasa sijui ikoje, lakini nafikiri Arsenal wanataka kumbakiza. Kwenye majukumu mapya (kucheza box to box) hajisikii vizuri lakini tunaheshimu maamuzi ya kocha ila mwisho wa yote tutaona kitakacho tokea"

#coyg
 
Pablo Bentancur (Wakala wa Torreira):

“Ilikua ngumu kumuuza Torreira kipindi kile (dirisha lililo pita), lakini kwa sasa sijui ikoje, lakini nafikiri Arsenal wanataka kumbakiza. Kwenye majukumu mapya (kucheza box to box) hajisikii vizuri lakini tunaheshimu maamuzi ya kocha ila mwisho wa yote tutaona kitakacho tokea"

#coyg
I think we need time under emery mkuu lets support him, au wewe unaonaje .
 
I think we need time under emery mkuu lets support him, au wewe unaonaje .
Ah wapi mm nilishamkataa huyu kocha mech ya 3 na Liverpool ,nikasema huyu sio kocha ni mwehu

Toka hapo sijawahi kumsapoti

Nitampinga hadi atakapotimuliwa

Kiukweli ni kocha wa ovyo sana

Kuna mdau alikuwa anapenda sana kumtetea ,sijui alipotelea wapi
 
BREAKING NEWS:- Luis Enrique amerudi kwenye nafasi yake UKOCHA timu ya taifa Spain.

Tumeshamkosa, tufocus kumchukua Morinyo
Aiseeh huyu angewafaa sana Arsenal maana timu ingepiga tik tak la hatari hapo England,
Mimi nafikiri Arsenal walisukumwa na mihemko katika kuajiri kocha,bora wangelituliza akili kabla ya kumtrua huyu UNAI maana haendani kabisa na soka la Arsenal...ni vema kipindi kile wangempa kocha wa muda timu hii, wangempa legend yeyote ili awasogeze kipindi wanatafuta chaguo sahihi,lakini mkurupuko umewafanya kuingia chaka...
 
Umemsikia per Mertsecker?

Mchezaji wa zamani wa Arsenal ambaye ni kocha wa vijana wa arsenal Per mertsacker amekaririwa na gazeti la mail kuwa angependa kufanya kazi na mchezaji mwenzake ambaye kwa sasa ni kocha msaidizi wa Manchester city mikael arteta ambaye anatajwa kuwa huenda akamrithi Unai Emery endapo atafukuzwa...

Nilikuwa nahodha msaidizi,Mara zote uwanjani amekuwa akisema tutumie mfumo wa 4-4-2 ni MTU ambaye yuko makini sana nimekuwa nikikaa karibu yake hata tukiwa kwenye vikao vya timu kipindi ambacho tulikuwa tukicheza pamoja...ningependa sana kama tungekuwa pamoja katika viunga vya Emirates nikimsaidia tena amesema per.,

Nini maoni yako
FB_IMG_1574180157798.jpeg
 
Pochettino juu ya kuifikisha timu UEFA final last season has been sacked by Tottenham Hotspur, sisi tunasubiri nini???
 
Back
Top Bottom