Sasa ndio nini????kwani Nottingham Forest,Villa ,Blackburn Rovers hawana hayo makombe????kwahiyo nazo zinapoongelewa timu kubwa England nazo zinahesabiwa??Chelsea amechukua PL ngapi? na lini?
Miaka 14 iliyopita umechukua PL?
Chelsea amechukua UCL?
Jipime kijana.
Ukishakuwa mshabiki wa chelsea kwani lazima uwe kilaza ????mbona vilaza wote wapo huko???Pumbavu sana unaukubwa gani wewe labda ukubwa wa matatizo mlionayo kwenye litimu lenu,lakini hongereni kwakubakia kwenye top ten ya msimamo wa Epl.
Tutawaongezea na AUBA na XHAKA mkuuBarcelona inamtaka Unai Emery.
Hahahahahahahah ajipigepige asemee??Sasa ndio nini????kwani Nottingham Forest,Villa ,Blackburn Rovers hawana hayo makombe????kwahiyo nazo zinapoongelewa timu kubwa England nazo zinahesabiwa??
JIPIGEPIGE KIFUANI UKISEMA MIMI NI MPUMBAVU....
rudia rudia mara 10 kwa sauti.

Hilo ungemuuliza bwana ako ingependeza zaidi
Na wewe kumpita Arsenal ndio ubingwa wako?????Na tutampita soon
R.i.pHawa ndo walikuwa WASHIKA MITUTU WA LONDON. Sura za kazi. Na kazikazi uwanjani. Hawa wa sasa, wooi! View attachment 1260905
Tulia dawa ipenye kunakoUngemshauri hili bi mkubwa wako pale home ingependeza sana
IMALIZE ISIMALIZE MSHAHARA WANGU UKO PALE PALE. NAENDELEA KUNUNUA MAGARI MAKALI, MANSION NA KULA BATA, TOP 4 KITU GANIView attachment 1261886
Na wewe kumpita Arsenal ndio ubingwa wako?????
Hahahahaaaaaaaaaaaaaa vituko haviishi duniani,
Nyinyi si juzi tu mlikuwa mshaongezewa jina la Lia Lia Utd, na lile la Nyumbu utd lilikaa kabatini kabisa,maana vilio vilitaradadi pale jukwaani!!!!!!
Mara kocha hafai,Rashford garasa,Lingard mcheza dance ,mara Edwoodward anazingua,Grazer awaachie timu hahahaaaaaa leo hii mmeshinda tumechi tuwili na tutimu twa kuungaunga mmesahau duh,
Kweli usimdhamini NYUMBU,
NYUMBU NI NYUMBU TU.
Kama mlivyompiga goli za kutosha pale trafford msimu huu....safi sanaChelsea hamna ubavu wa kututambia sisi, kwenye EPL wake zetu wakudumu ni Arsenal na Chelsea.
Arsenal yeye huwa tunamnywea na mkuyati tunajipigia goli tunazotaka.