Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kapambane mtaa wa 10Hapa ndipo mnapofail...angalia ma-captain wa vilabu vikubwa..Man City, Liverpool, Chelsea, Man United, Spurs et al. Captain lazima awe mkongwe haswa katika timu husika, mtu mwenye uchungu na timu, mtu asiye na wazo la kuondoka, mtu mzima mwenye akili iliyotulia. Arsenane mchezaji ana misimu miwili tayari anakuwa captain..
Kwani umemwajili wewe?Ngoja tuendelee kupata haya matokeo naapa Mimi Mungu yupo game ya Leicester city hatutashinda hatutashinda kama kocha atakuwa ni Unai naapa hatutashinda
Hii statement nliitoa jmosi na bado narudia tutarudi na matusi makubwa humu Jumamosi huyu alitakiwa akitoka ureno anarudi spain direct na sio London
Hii ni dalili kubwa ya uchawiNina uhakika UE anamaliza msimu wake huu
#I STAND WE UNAI EMERY#
Babu Anaelekea Baryen
Update: there has already been talks between @FCBayern and Arsene Wenger @BILD_Sport
Asante ni ya muda tu , tunaombea tupoteze Wikiend huenda Bodi ikafanya jambo kutuondolea huyu kocha Asiyejua kufundishaMkuu kwema. Pole na maumivu unayopitia
board ya arsenal ya kichoko sana, wanaonekana wamaana lakini hakuna kitu wapo wapo tu.Unai atafanya wachezaji wengi wazuri waondokeView attachment 1257263
Futuhiiiiiiiiiiii ndio ni FUTUHI...
Hii timu naionea huruma sana ...
Na bado tunaitaji Emery Unai aendelee kubaki ili tuone Arsenal ikibeba makombe
Mkuu ni kweli kiburi cha Unai kinachagizwa kwa asilimia fulan na Raul , ila ukifatilia waliomleta Unai ni kina Gazid ndiye alikuwa na mamlaka makubwa, Raul alimtaka Enrique maana anamjua toka barca , Gazid alimtaka Arteta na Unai ,
Asilimia 70% ya waliomleta Unai hawapo Arsenal ,
Ukifatilia vzr Utaona Wengi pale Arsenal hawamuelewi Emery , ni swala la muda tu .
Gazid ndiye aliyemfata unai na kumpa dili, kipind kile anafika Kwenye interview alisema jinsi alivyompata huyu muhind
Raul alikosea sehemu ndogo kuondoka kwa Sven. , Dirisha la summer walimsikiliza sana Sven na akaleta watu kama kina Leno, lt11 , auba, Mateo
Dirisha la January , wakamsikiliza unai. ..kuhusu ujio wa Denis Suarez, kitu ambacho Sven alikikataa kabisa
Kuanzia hapa kukawa na maneno, suluhisho ikawa Huwez kumuondoa kocha , wakuondoka ni Sven ,
Dk 88 Crystal palace 0 -2 Leicester citynacheka kama mazuri ila ntanunua dawa za presha kabisaaa hyo tarehe 9