Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
I said it ceballos was rubbish
HahahahahahahahahJaman usiku mwema ,
Presha ya kocha kutimuliwa ipande
Namihitaji Mourinho
Rekebisha sentensi yako ya mwisho ni "Liverpool b" sio Liverpool [emoji23][emoji23]Huyu koxha kweli bwege unamtoaje tolleira na kumuingiza ceballos wakati timu haina DM na unacheza na timu kama liverpool..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Arsenal yangu siiamini hata tukitangulia goli 4 dhidi ya mpinzani inabidi usubiri dk 90 kuhakikisha matokeo yaani imekuwa timu dhaifu mno mno mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Arsenal yangu siiamini hata tukitangulia goli 4 dhidi ya mpinzani inabidi usubiri dk 90 kuhakikisha matokeo yaani imekuwa timu dhaifu mno mno mno