Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unadhani Rahisi??
 
60% Arsenal anashinda leo bila wasiwasi,Liverpool leo nusu ya F11 watakuwa ni watoto wa U23.
 
Hakuna kujitetea jipange kisaikolojia

Nadhani Jifundishe kusoma kwa makini kabla ya kureply

Ulichokiandika hakina uhusiano na ulichoninukuu

Mimi just nimempa information niliyemnukuu tu kumueleza Kuwa leo Klopp atafanya rotation that's why mimewahusisha U23.

Sikupost kwa lengo la kueleza hali ya mchezo itakavyokuwa.
 

Inahitaji uwe na jicho la tatu kuelewa nilichoreply ???
tumia ubongo kutafsiri......hapo maana yangu ni kuwa Liverpool wasije kupanga u23 ili badae waje na kisingizio kuwa iliyofungwa ni timuB,alafu Muhindi akajitengenezea profile yake....

Wapange full ili kama tukiwapiga tutamne au tukifungwa joto la Emery Out lipambe moto

Sasa nadhani hapo wewe ndio ujifunze kusoma na kutafsiri.......
 

Sawa bhana!
 
Hivi vitimu bwana, wanamzomea nahodha wao. Nahodha nae anawajibu kwa dharau,na anavua jezi na kusepa. Pogba pamoja na kutukanwa na mashabiki hajawahi kufanya jambo kama hili.

Uzi wa MUFC una heshimika sana.
Na Pogba bado hajafikia kuwa nahodha lakini ana adabu zote.
 
Wewe ndio mjinga kucoment kwenye timu usiyokuhusu,pilipili ya shamba inakuwashia nini,SISI WENYE TIMU YETU ndio tunaojua timu yetu ina kila kitu sasa ww ni swala lako ukubali au ukatae.
Ina kila kitu..


#SheffieldUtd#
#CristalPalace#
#Liverpool#
#Leicester#
 
Kwa hiyo mtashinda..
ukitaka vichekesho kama hivi tuma neno CristalPalace kwenda Emirates.
 
60% Arsenal anashinda leo bila wasiwasi,Liverpool leo nusu ya F11 watakuwa ni watoto wa U23.
Duh..aisee hatari hii, ndio muindi wa betting anakopigia hela kwa watu kama hawa.
 
Jose Mourinho would find the prospect of rebuilding and winning trophies at Arsenal really interesting [@plazacasals and @dwright75]
 
Afadhari Jose akija pamoja kwamba timu itapoteza mpira wa Arsenal lakini itapata makombe kuliko ilivyo sasa mpira mbovu na matokeo hakuna.
 
Jose Mourinho is very interested in becoming the manager of Arsenal.[@plazacasals]
 
BREAKING NEWS : Jose Mourinho yupo tayari kwa kuchukua kazi ya Unai Emery.

Hadi sasa habari za chinichini ni kwamba ma-boss wa Arsenal wanaweza kumfukuza kazi Unai Emery.

Swali la nani atachukua mikoba ya Arsenal jina linalotajwa sana ni Jose Mourinho. Kipindi cha television kinachohusu maswala ya soccee wamesema kwamba bodi ya Arsenal ipo sawa kumpa kazi Mourinho.

Upande wa Mourinho napo wapo sawa na kazi ya kuinoa Arsenal kwasababu ndio level ambayo kocha huyo anataka. Aliwai kusema atarudi kuwa kocha lakini kwenye club ya level za juu na sio chini.

Hivi karibuni Mourinho alienda Emirates Stadium kuangalia mechi ya Europa League kati ya Arsenal dhidi ya VItoria.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…