Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Fukuza woteeee................kocha na huyu mjinga.Xhaka hapaswi kuwa captain. View attachment 1246781
UNAI GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTimu yetu ina wachezaji wazuri lakini haina muunganiko wa kitimu,na kocha ndiye mwenye jukumu la kuunganisha timu lakini kafeli......
EMERY OUT.
Kubet au kutuletea mchezaji?Jorge Paulo agustinho Mendes inasemekana Alikuwepo kwenye mchezo wa Jana Emirates dhidi ya Palace Blue MondayView attachment 1246859
Achana na wangese mkuu watakupotezea mudaWewe ndio mjinga kucoment kwenye timu usiyokuhusu,pilipili ya shamba inakuwashia nini,SISI WENYE TIMU YETU ndio tunaojua timu yetu ina kila kitu sasa ww ni swala lako ukubali au ukatae.
Nipo top four na wakubwa wenzanguWewe upo nafasi ya ngapi
kwenye hizo game mbili mtaambulia point moja tu
Mkuu acha kuimba taharabu. Asenane ipo vibaya sana msimu huu kutokana na usajili wake mbovu.Wewe ndio mjinga kucoment kwenye timu usiyokuhusu,pilipili ya shamba inakuwashia nini,SISI WENYE TIMU YETU ndio tunaojua timu yetu ina kila kitu sasa ww ni swala lako ukubali au ukatae.
Kuropoka ni ruksa si domo lako.
Timu isajili wachezaji wazuri, toeni hizo takataka.
"E="joseph1989, post: 33284694, member: 224824"]
Yote kayataka UNAI yaani mpaka nyinyi ambao timu yenu haiwezi kushinda mechi tatu mfululizo mnatupiga mikwala.
Mind the gape....in mou voiceMkuu jana angecheza Kipepe, mngeshinda
Mind the gape....in mou voice
Vituko kama hivi unaweza kuvikuta Arsenal tu
Nahodha amekosea sana. |
Arsenal hata awe wa kwanza nae wakimfikiria chelsea na man city wanabeba makombe wametoka nyuma yako wewe upo tu had wamekupita bado unauliza swali hilo?Huna maajabu wewe,timu lako lenyewe tia maji tia maji kama gari la mkaa breki shamba ,breki gereji
Hahahahaaaaaa
Hivi mpo wangapi?