Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakakimbia na chupi mkononi? Au sisi ndiyo tumekimbia na chupi mkononi?

Arsenal ya EPL inaboa.
 
kwenye hizo game mbili mtaambulia point moja tu
 
Tuna kocha anayetengeneza matatizo ya kujitakia,tuna kila kitu lkn tunafanya vibaya sababu ya mabeef yake ya kipuuzi bora tufungwe na kama ikiwezekana jumatano naye Liverpool tupige.
Unai asifukuzwe ARSENAL, kwa mechi mbili zijazo na kwa uwezo wake atajievaluate mwenyewe kama anafaa kwenye nafasi yake.


Next stop ... Liverpool away

Then ...Leicester away

#Unai in

In unai we trust
 
Utaratibu mpya wa kuchangia hapa

1.WEKA MSIMAMO WA LIGI ILI TUJUE UPO NAFASI YA NGAPI.

2.ANZA KUROPOKA
 
Unai asifukuzwe ARSENAL, kwa mechi mbili zijazo na kwa uwezo wake atajievaluate mwenyewe kama anafaa kwenye nafasi yake.


Next stop ... Liverpool away

Then ...Leicester away

#Unai in

In unai we trust
Hii ya Liverpool tuitoe tuna mechi home na wolves then Leicester away
 
Xhaha kawatukana washabiki waliomtolea maneno, UNAI ANAIGAWA TIMU, ANAVURUGA KILA KITU BUT SJUI UONGOZI KAMA UTACHUKUA HATUA MAPEMA
 
Unai anafanya wachezaji kuwa wabovu, Auba na laka wanapata wakati mgumu coz hawana mrahisishaji
 
Leo kocha mnamuonea tu

Refa na VAR yake hawajatenda haki

Ukiangalia goli la 3, chambers kasukumwa upande wa pili kapicha nyama wao wame angalia upande wao kwa interest zao

Na kuna move kama tatu refa aliziuuwa nakutoa nafasi kusawazishwa goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…