Me naomba nitofautiane kidogo na wewe, angalia mpira wanaocheza Leicester then fananisha na huu tunaocheza Arsenal yetu ya Unai.Timu zinazokabiliana na leicester city tofaut na zinapokabiliana na arsenal timu ndogo inapocheza na arsenal au timu yoyote ya top 6 umakini huwa wa hali ya juu sana ikiwa pamoja na kupak basi Rogers akija arsenal mtamkataa moja pressure ni kubwa tofaut na alipo kule timu hiz zinahitaj makocha wenye cv kubwa mchezo aliocheza leicester city au sutton hawez kucheza na timu yoyote ya top 6 lazima wanawaza kuziba njia
Me naomba nitofautiane kidogo na wewe, angalia mpira wanaocheza Leicester then fananisha na huu tunaocheza Arsenal yetu ya Unai.
Kama unadhani Brendan Rodgers hatoweza ku deliver akiwa Arsenal basi wote Unai Emery na Rodgers ni average Coaches, kwa mbinu za kiuchezaji Emery amezidiwa na Brendan Rodgers mbali sana. Na kuhusu hili utakuja kuona Leicester atakavyo tufunga tutakapokutana epl
Mkuu uko sahihi, mwenendo wa timu yetu sio mzuri ndiyo maana wengine tunachukia na kudhani labda Jose Mourinho au Brendan Rodgers anaweza kuwa mwarobaini wa Arsenal.So Leicester kaifunga Soton tisa, hongera zake, ila hiyo haimpi Rodgers edge ya kwamba anafaa Arsenal. Kusema huyu na Emery ni sawa ni kumkosea heshima Emery.
Rodgers ana makombe mangapi? Amepita timu ngapi kubwa?
Yaani ingekua makocha ni unabeba na kuleta mimi nasema Diego Simeon wa Atletico anafaa Arsenal.
Mkuu uko sahihi, mwenendo wa timu yetu sio mzuri ndiyo maana wengine tunachukia na kudhani labda Jose Mourinho au Brendan Rodgers anaweza kuwa mwarobaini wa Arsenal.
Kusema kweli haya matokeo tunayopata yanauma sana, we unavyodhani kwa selection ya timu inavyofanywa na kocha wetu Kuna siku tunaingia top 4 achilia mbali kushinda angalau goli 5+ Kama alivyofanya Leicester hapo jana?
Mkuu acha kumfananisha Rodgers na Emery huko ni kumdharirisha Rodgers.....Unai hamna kitu mule,kufundisha timu kubwa sio kigezo inaweza kuwa kismati tu,Brendan Rodgers alishakua Liverpool.
Maisha ya Liverpool yakawaje?
Mbona Ranieri aliyechukua kombe na hiyo Leicester mwenye rekodi tamu kumzidi Rodgers haongelewi popote?
Brendan Rodgers akiwa Liver nini kilimshinda kuifunga Soton goli tisa? Kama unakumbuka huo msimu ambao kila Big 4 ilikaa Soton ilikua na wachezaji wakali ambao zaidi ya 5 wakanunuliwa na klabu nyingine na balaa lao likaanza hapo.
So Leicester kaifunga Soton tisa, hongera zake, ila hiyo haimpi Rodgers edge ya kwamba anafaa Arsenal. Kusema huyu na Emery ni sawa ni kumkosea heshima Emery.
Rodgers ana makombe mangapi? Amepita timu ngapi kubwa?
Yaani ingekua makocha ni unabeba na kuleta mimi nasema Diego Simeon wa Atletico anafaa Arsenal.
Maandishi yangu yote hayakumaanisha kwamba Emery ni mkali ila yamemaanisha kumtema Emery kwa ajili ya Rodgers ni kujipa presha nyingine.Mkuu acha kumfananisha Rodgers na Emery huko ni kumdharirisha Rodgers.....Unai hamna kitu mule,kufundisha timu kubwa sio kigezo inaweza kuwa kismati tu,
Di mateo alifundisha Chelsea na akawapa UCL yupo wapi now????
Mwalimu bora hapimwi hivyo ,huyu Unai kafundisha PSG yenye wachezaji bora kabisa amekifanya nini???
Yaani ni sawasawa mwalimu unakabidhiwa darasa lenye watoto wenye akili sana alafu matokeo hovyo...
Angalia timu anazopitia Brandan na soka linalochezwa na timu hizo....
Kocha lazima uwe na mbinu za ufundishaji zitakazopelekea kutambulisha aina ya soka ambalo timu yako inacheza katika kupata matokeo.....
Tumeona Guadiola,Brendan,Klopp,Santo,Silva na hata huyu Frank wa juzi tu wote wana aina yao ya soka ambalo linatambulisha klabu zao na ndio wanatumia hizo kupata matokeo....
Sasa huyu bwege yeye akilala anafikiria kumweka bench Ozil na Lucas hawazi mbinu za ushindi.....cha kushangaza hao anaowaamini katika fxi yake anawachezesha dk45 tu then anawatoa si awaache wamalize mechi ale wiki ili akili imkae sawa...UKIMUONA KOCHA ANAFANYA SUB DK 45 YA MCHEZO HUYO SIO KOCHA NI KANJANJA
Unahitaji uwe na kipaji kikubwa cha ubishi kumtetea huyu mla pilipili
Rodgers alishaongelewa kumrithi mzee Wenger tangu AW hajastaafu, lakini sijui kilitokea nini Gazidis akatuletea ujinga huu tulionao sasa hivi..If possible tungempa kazi hata kocha wa Leicester city huyu Brendan Rodgers, naona yuko vizuri kuliko Unai Emery wetu. Naona Leicester anazidi kuiboresha kila siku, huyu atatufaa sana Arsenal.
Binafsi nikiambiwa nichague kati ya Unai Emery na Brendan Rodgers nitakwenda na Brendan Rodgers kwa asilimia 💯Rodgers alishaongelewa kumrithi mzee Wenger tangu AW hajastaafu, lakini sijui kilitokea nini Gazidis akatuletea ujinga huu tulionao sasa hivi..
Bas humjui vzr Mou au kwann humuhitaji ?Mourinho atakuja halafu tutamchukia.
Tuna nini ambacho Madrid haikua nacho?
Huyu jamaa siungi mkono kutua hapo.
Diego hana tofauti kubwa sana na Mourinho kitacticBrendan Rodgers alishakua Liverpool.
Maisha ya Liverpool yakawaje?
Mbona Ranieri aliyechukua kombe na hiyo Leicester mwenye rekodi tamu kumzidi Rodgers haongelewi popote?
Brendan Rodgers akiwa Liver nini kilimshinda kuifunga Soton goli tisa? Kama unakumbuka huo msimu ambao kila Big 4 ilikaa Soton ilikua na wachezaji wakali ambao zaidi ya 5 wakanunuliwa na klabu nyingine na balaa lao likaanza hapo.
So Leicester kaifunga Soton tisa, hongera zake, ila hiyo haimpi Rodgers edge ya kwamba anafaa Arsenal. Kusema huyu na Emery ni sawa ni kumkosea heshima Emery.
Rodgers ana makombe mangapi? Amepita timu ngapi kubwa?
Yaani ingekua makocha ni unabeba na kuleta mimi nasema Diego Simeon wa Atletico anafaa Arsenal.
Kuna watu nimeamini hawamjui vzr emeryEmery hawezi kufikia hata uwezo wa Eddie Howe wa Bournemouth, Pia Rodgers is far better than Emery wote tunajua hilo, kitendo cha leicester kuwa hapo walipo ni wazi kwa uwezo wa kocha,Kwani after Ranieri kufukuzwa wamepita wengi km kina Puel ,shakespear lakini hawakuachieve kama Rodgers anachofanya.Inaonekana kabisa Leicester hawabahatishi ila ni uwezo, Kacheza Big game 4 (3 away ), sisi tumecheza tatu na bado anatuzidi point.
Huyu Rogders si alimiss-out pointi mbili kuwa champion pale liverpool 2013/2014, sasa tunasemaje hawezi kudeliver kwenye Timu kubwa??
kukosa hizo pointi mbili kuwa Champion wa league itakuwa ni achievement kubwa sana kutokea kwa Emery hapo Arsenal,
Emery kuwa bingwa wa EPL....Ebu ngoja nicheke kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hahaha Madrid walifunzwa kukaba enzi zake. Inter ndiyo wakachukua kombe na ukabaji juu, haitakua tofauti akija Arsenal. Man U yenyewe ilikaba mpaka basi.Bas humjui vzr Mou au kwann humuhitaji ?
Sion tatizo, maana bado atakujengea timu ya ushindani,Hahaha Madrid walifunzwa kukaba enzi zake. Inter ndiyo wakachukua kombe na ukabaji juu, haitakua tofauti akija Arsenal. Man U yenyewe ilikaba mpaka basi.