Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkuu tuache kwanza tunataka kumtimua huyu kocha
Humu misiba inaendelea tu.
kabisa mimi nimehisi hivo, yani kama tupo ugenini mzeekuna mgomo wa siri siri sio bure...
Mkuu tuache kwanza tunataka kumtimua huyu kocha
Nyie endeleen kumuamini Ole
Wakati tunalia na Ole ulikuwa unakuja na picha na masimulizi yako kule. Pole mkuu. Unai mbona anachapa kazi vyema tu?😂 |





kijana anaitwa Marcus Edward muingereza huyo



Ngoja huyu tunamtimua ,
Wakati tunalia na Ole ulikuwa unakuja na picha na masimulizi yako kule. Pole mkuu.
Unai mbona anachapa kazi vyema tu?
Hakuna mgomo hapo,huyo kocha ni bomu kimbinu na jeuri falas sana hilo kochakuna mgomo wa siri siri sio bure...
Wamezingua sanaKwanini wamesawazisha haya machezaji majinga sana
AfadhaliTumepigwa la pili