Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pepe alicheza vizur sana game hiyo alikuwa anajituma anazunguka uwanja wote nilfurah sana kuona ameanza kurudisha kujiamin tutarajie kumuona pepe mwngine kila mechi anazd kuimarika


NAIMANI SOON EMERY ATATUACHIA TIMU YETU HAKUNA ANAYEMUELEWA
Aroon unapoteza nguvu zako bure tu, watu ambao wana ona pepe ame flop n wale watu wasio na vision ao hawata kuelewa mpaka waanze kuona ana funga na ku assist mara kwa mara, na hyo siku ikfka watakavyo msifia kama sio wao, ukiwakumbusha watakugeuka hautaamn we kula zako good time tu achana nao ipo siku pepe mwenyew ata wa prove wrong, kwan wale Emery pga kaz wako wap?
 
bust up reported yesterday btn Ozil and unai during the morning training session, suggesting that we might not see Ozil today
 
bust up reported yesterday btn Ozil and unai during the morning training session, suggesting that we might not see Ozil today
kuna video kati ya Ozil na Emery at Arsenal training appearing to have a frosty conversation went viral...
 
Hahahaah dah aiseeeeh huyu muhindi shubamit
Your browser is not able to display this video.
 
Hapo mwanaume ni santo tu namkubali kocha wa wolves kapiga makocha wote wazoefu epl uwe kwako au kwake anachotaka atapata hata usajili wake wa watu wa kazi
 
Rubbish team with rubbish fans like you .
 
Emery: "When I arrived here, Fabinho's name was on the table to achieve to sign him, but he signed for Liverpool. The first six months he didn't play, it was adaptation. But now he is amazing and I want the same with (Dani) Ceballos, with Pepe. We need patience." #Arsenal
 
Hoping for a Pepe, Lacazette, Martinelli front three tonight. Get Pepe and Laca in the grove and in confidence and give Martinelli another chance to shine.


Need a big convincing win to at least lift the mood a little.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…