Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Nakuomba kwa Heshm ya mzee Wenger mtake radhi sna.. Unai ni M2 hata kikosi tu hajui kupanga Yan anajikuta tactical genius anakuja letea Wa2 upuuz.. Wenger na madhaifu yake na Wa2 kumtukana lkn ulikua unaona team Ina clear identity na angalau wanacheza UefaNaiona picha ya Wenger tu,sioni jipya sana
[emoji23] Daah kuna Wa2 mnajua kutafuta wenzenu ugomv
Vipi hali yako mkuu? Kweli kikosi kilikamilika na tumeona.
Basi utakuwa hukumjua Wenger vizuriNakuomba kwa Heshm ya mzee Wenger mtake radhi sna.. Unai ni M2 hata kikosi tu hajui kupanga Yan anajikuta tactical genius anakuja letea Wa2 upuuz.. Wenger na madhaifu yake na Wa2 kumtukana lkn ulikua unaona team Ina clear identity na angalau wanacheza Uefa
Pole sana mkuu, kwani hamjazoea tu, kama umeweza kuzoea kukaa miaka 15 bila kubeba Epl hiki kipigo ni kitu kidogo kwako, endeleeni kuwa wavumilivuNimeumia mno leo...... Yaaani wachezaji wote tulinao still tunafungwa kirahisi hivi
Nasikia wamegongwa tena[emoji23][emoji23][emoji23]Mara ya mwisho mlipokutana na Sheffield PL mligongwa cha nguruwe. Nategemea itakua ivyo leo.
Goodluck Sheffield United [emoji123][emoji123]
Lala navyo sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Arsenal nimeimiss sana kuiona uwanjani duh!...Wiki mbili zimepita.
Ushindi muhimu leo, ila tukifungwa nalala na viatu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahahahah Mmmmh umeshafika.Nasikia wamegongwa tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Wameliwa[emoji23][emoji23][emoji23]Piga mbuzi hao
Watamu watoto hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wameliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
mapemaaaaaaaaaa hahahahahahahahahaHahahahahahahahah Mmmmh umeshafika.
baba unaweza ukawa sawa au laa!Mimi ni mdau wa Liverpool. Huyu Pepe kipindi wanamtaja taja tetesi za Liverpool. Nikamwangalia sana, sikuona ukali wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lala navyo sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha yuko na goli alafu anakosa..Mm Kama shabiki nguli wa Sheffield United nataka game irudiweView attachment 1240557
Ameshajipiga ban huyo huwez kumwona hapa
Atatukimbia wakati tumekuja kumtia nguvu mfiwa,tupo hapa na tutakuwa hapa kwa siku tatu,asubuhi mchana na jioni.😂 |