Kale ka droo ulikokapata jana naona kamekupa jeuri sasa una tembea kila jukwaa tu.
Tushakufa,sababu ya mpuuzi mmoja tu na chuki zake za kijinga.
1-0arsenalngapi ngapi bosi? natumia Freebasics
hatariiiiHuyo tumepigwa 80 mkuu
Droo aliisaka liverpool ulishapigwa wewe tuliaKale ka droo ulikokapata jana naona kamekupa jeuri sasa una tembea kila jukwaa tu.
Kikosi kipo kamili, hakuna majeruhi yeyote
Wachezaji wote wapo fiti
Bado bellerin ,lacazette wanaweza kuanzia bench au wasicheze hadi mech ya alhamis Europa
View attachment 1239547View attachment 1239548View attachment 1239549View attachment 1239551
Vipi hali yako mkuu? Kweli kikosi kilikamilika na tumeona. |
Kuna wavuvuzela yamejikausha kau kama vile hawayajui matokeo
Mkuu Aaron Arsenal unauliziwa huku. |
Hahahahahahahahah Sawa.Droo aliisaka loverpool ulishapigwa wewe tulia
haaahaa hali tete mr vuvuzela mambo yameenda msegemnengeKikosi kipo kamili, hakuna majeruhi yeyote
Wachezaji wote wapo fiti
Bado bellerin ,lacazette wanaweza kuanzia bench au wasicheze hadi mech ya alhamis Europa
View attachment 1239547View attachment 1239548View attachment 1239549View attachment 1239551
Mkuu Aaron Arsenal unauliziwa huku.
Duuu garasha la mwaka hili, watu wamepigwa mchana kweupeMm Kama shabiki nguli wa Sheffield United nataka game irudiweView attachment 1240557