Leo Luiz ameweka wazi kwamba bado anaipenda Chelsea ila ilimbidi kuondoka kwa sababu Lampard alimwambia kuwa nafasi kubwa ya kucheza itakuwa kwa Tomori na si Luiz. Ndipo Luiz akaamua kwamba anaondoka. Hapo hapo ndipo Arsenal wakaona dodo limeanguka na kuliwahi.
Kiukweli kilichomuondoa Luiz Chelsea ni game time. Kwa hiyo Arsenal inapaswa kujua kuwa mchezaji ambaye amekosa namba kwenye kikosi cha wachezaji 11 Wa Chelsea Arsenal atapata namba first team akienda Arsenal. Kante, Joginho, Mount, Tammy, Willian, Odoi, Azpillicueta, Alonso, Tomori ni aina ya wachezaji ambao wakija Arsenal hawakosi namba.
Kwa mtu yeyote mwenye kufuata Logic na hana miemuko ya kishabiki atanielewa nilichosema.
"What I had there was true" - Arsenal player speaks of love for Chelsea
David Luiz left Chelsea this summer to join their London rivals Arsenal on transfer deadline day, and he has been revealing in more detail what actually happened and why.www.chelsea-news.co
Wewe kaa na litimu lako bovu tuachie arsenal yetu.
Vutuko unavileta ww,hivi kibabu azpilicueta utamfananisha na hector....Hahahaha sasa apo arsenal ukimtoa Auba mchezaji gani anaeza pata namba kwenye kikosi cha Chelsea? Hahahaha embu acha vituko mkuu...
Kwanini hujaanza nafasi ya kipa unakurupukia namba tatu????Marcos Alonso vs Sead Kolasinac katika ligi kuu Uingereza(EPL)
Alonso amecheza mechi 5; 3 akianza, 2 akitokea benchi, na jumla ya dk alizocheza ni 347.
Kolasinac amecheza mechi 5; 4 akianza, 1 akitokea benchi, na jumla ya dk alizocheza ni 469 yaani dk 122 zaidi ya dk alizocheza Alonso EPL.
Alonso ana assists 2;
Kolasinac ana assists 1;
Shots per game:
Alonso 0.6
Kolasinac 0.2
Pass success percentage per game:
Alonso 82.3%
Kolasinac 86.8%
Aerials won per game:
Alonso 3.2
Kolasinac 0.8
Tackles per game:
Alonso 2
Kolasinac 1.5
Interceptions per game:
Alonso 1.2
Kolasinac 0.7
Clearance per game:
Alonso 2.2
Kolasinac 1.5
Key passes per game:
Alonso 1.4
Kolasinac 0.8
Passes per game:
Alonso 43
Kolasinac 36.5
Dribles per game:
Alonso 1.2
Kolasinac 0.5
Crosses per game:
Alonso 1
Kolasinac 0.3
Long balls per game:
Alonso 1.2
Kolasinac 0.7
Hapo wadau takwimu zinajieleza yupi bora kati ya Kolasinac na Alonso. Next ni Luiz vs Tomori
Anza na kipa ghali duniani ndio wengine wafuateMbona Arsenal mnakwepa takwimu za wachezaji wenu kuwekwa wazi
Kila mchezaji wa first eleven nitamleta hapa bila upendeleoKwanini hujaanza nafasi ya kipa unakurupukia namba tatu????
Au umevikwepa vihande viwili kepa pazia aliyezubaaga pazia expensive....na kibabu azpilikueta kazi na umri
Kwa hiyo Alonso tukubaliane anaweza kupata namba katika kikosi cha Arsenal bila upinzani wowoteKwanini hujaanza nafasi ya kipa unakurupukia namba tatu????
Au umevikwepa vihande viwili kepa pazia aliyezubaaga pazia expensive....na kibabu azpilikueta kazi na umri
Alonso hata sub hakai , kwa Kikosi cha Arsenal.Kwa hiyo Alonso tukubaliane anaweza kupata namba katika kikosi cha Arsenal bila upinzani wowote
Unaumwa wewe alonso haingii kwa tierney hata roboKwa hiyo Alonso tukubaliane anaweza kupata namba katika kikosi cha Arsenal bila upinzani wowote
We nawe si utuliage na mtimu wako ushajichokea huko ICUNaona arsenane kidogo mna matumaini japo timu mbovuu ila at least sio man u [emoji23][emoji23][emoji23] Timu hatuna jamani
Kwani wanaelewaga haoAlonso hata sub hakai , kwa Kikosi cha Arsenal.
Naona hujui kuwa Kolasinac ni Sub ya Kieran tierny ,
Ndio maana nimekushauri nenda kadanganyane na wenzako kule jukwaa lenu
Usichojua Mabeki wa Arsenal ni hawa
Bellerin -holding-luiz-KT
Baada ya Break Back line itakuwa hiyo ,
Chelsick bhana ushind kwa soton mkavua hadi nguo,mmeshasahau kabisa nafas yenu msimu huu ni 10-15Naona arsenane kidogo mna matumaini japo timu mbovuu ila at least sio man u [emoji23][emoji23][emoji23] Timu hatuna jamani