Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
huyo willock hafai kupata hata dk 10 arsenal , mech zote utakuta unai anamtoa ceballos anayekaa na mpira , anakaingiza hako katoto , bas utakuta pale kati pamekuwa peupe , ndio maana utakuta tunashambuliwa tu hatupigi shuti wala NINI, fatilia mech ya Watford , man u, bmouth , hata ile fainal kule Baku, Covacic anakokota mpira dimba jeupe ,Muhindi wetu ni mbishi sana, we utaona willock anapata gametime kuliko hata Lt11
Hao barca mpaka leo wanamlilia Neymerjr,Guardiola alipofika Man City baada ya muda Yaya akawa anaonyeshwa dalili za kutotakiwa, ni ukweli timu ikawa kama inelegea hivi lakini baada ya Yaya kuondoka na muda kupita Man City anacheza mpira mzuri kuliko alivyokua Yaya.
Sir Alex Ferguson alikua na Beckham, mtu mbaya wa dead balls, Beckham akaonyeshwa njia akiwa wa motoooo. Baada ya pale Man U haikuacha kuonyesha ushindani na hatimaye kutwaa vikombe.
Neymar akatwaliwa Barcelona, alikua poa. Yeye na wenzake wakaunda utatu wa MSN, Messi & Suarez & Neymar, akajiona anahitaji kuanzisha ufalme wake akaruhusiwa kwenda.
Mourinho akiwa Man U akakutana na bishoo Pogba, akaona hawataivana akawa anamzoesha benchi taratiiiibu. Mashabiki wa Man U wakachochea kutochezeshwa kwa Pogba iwe chanzo cha Mou kuondoka kwakua haitakii timu mema wakisaidiwa na wakina Scholes na Giggs.
Emery akatua Arsenal. Arsenal imechoka haina hata beki kiasimpaka CMF Niles anachezeshwa beki wa kulia, siyo jambo baya maana Wenger alishamfanya Eboue akawa beki badala ya Winger na Kolo Toure akawa beki badala ya striker, anyway timu ilikua hovyo. Ngungwa ngungwa Arsenal ikafika fainali Europa.
Emery pengine hajui, hajui kua shabiki hakosagi goli na hakosei. Kwahiyo mashabiki walivyokua wanamtajia kikosi wanachotamani fainali ya Europa kwenye page yake na ya Arsenal huko IG alitakiwa kupuuza, badala yake akapanga kikosi kilekile kilicholiliwa na mashabiki na matokeo ikawa Arsenal kufa nne bila.
Mashabiki walimlilia Ozil, alikuepo pia siku hiyo. Pengine siyo wote tuliomsikia Ospina, jamaa alisema Mesut ni mchezaji ambaye siku akiwa vizuri anakua vizuri mara mbili ya kawaida, hiyo ndiyo vile anatengeneza nafasi sita katika dakika 71, na siku akiwa vibaya ni anakua vibaya mara saba ya kawaida, hiyo ndiyo siku unaona watu mnapigwa na playmaker wa kuaminiwa haonekani.
My point is, mashabiki tunakosea tunapolazimisha Emery awe Wenger, kila mmoja ana dira na falsafa zake. Kama Emery anaona Ozila hafai kwenye mechi hii akamuweka nje hilo siyo tatizo, Guardiola alimuona Yaya hafai, Neymar, Beckham wote hao yet teams survived.
Timu ni kubwa kuliko mchezaji.,
Wengi reference yenu ni timu ya PSG kufungwa na Barca hivi mnakumbuka Barca alivyobebwa?Hao barca mpaka leo wanamlilia Neymerjr,
Kifupi kumtetea huyu mla pilipili kunahitaji moyo mkuu......
Maana arsenal hii kila game ni fainal hata zile zinazochezwa hapo uwani kwetu Emirates,
Sisi tulikuwa tunataka mtu wa kutupa zaidi ya alichotupa Wenger bro,maana kipindi cha mzee hawa kina aston villa,watford,leicester, n.k tukikutana nao unaona kabisa utofauti wa madaraja ya timu hizo mbili....lakini sasa hivi dah yaani wale bournamouth wanatupiga msako bila woga palepale Emirates.
Timu haijulikani ipo home au away....
Huyu alikuwa na wachezaji wa kila aina pale PSG na hamna kitu alichofanya.....Tatizo lake kiwango chake ni kidogo na anapoambiwa ukweli hataki anaishia kuweka chuki na wachezaji
Tukubali huyu kocha sio size ya Arsenal,huyu anafaa fulham,sunderland,villa na timu za aina hiyo..
Ameachwa mbali sana na Brendan Rojas,Nuno,Silva,Martinez, n.k
Mkuu huyu kocha hata Arsenal bodi usione ipo kimya haimuelewi ,Hao barca mpaka leo wanamlilia Neymerjr,
Kifupi kumtetea huyu mla pilipili kunahitaji moyo mkuu......
Maana arsenal hii kila game ni fainal hata zile zinazochezwa hapo uwani kwetu Emirates,
Sisi tulikuwa tunataka mtu wa kutupa zaidi ya alichotupa Wenger bro,maana kipindi cha mzee hawa kina aston villa,watford,leicester, n.k tukikutana nao unaona kabisa utofauti wa madaraja ya timu hizo mbili....lakini sasa hivi dah yaani wale bournamouth wanatupiga msako bila woga palepale Emirates.
Timu haijulikani ipo home au away....
Huyu alikuwa na wachezaji wa kila aina pale PSG na hamna kitu alichofanya.....Tatizo lake kiwango chake ni kidogo na anapoambiwa ukweli hataki anaishia kuweka chuki na wachezaji
Tukubali huyu kocha sio size ya Arsenal,huyu anafaa fulham,sunderland,villa na timu za aina hiyo..
Ameachwa mbali sana na Brendan Rojas,Nuno,Silva,Martinez, n.k
Sahihi kabisaMkuu huyu kocha hata Arsenal bodi usione ipo kimya haimuelewi ,
Wanaomteteaga sijui wanatumia vigezo gan ,siku hizi hakuna tofaut kisoka kati ya arsenal na middle table teams , kitu ambacho ni hatari sana , Wenger pamoja kuwa na average players wengi hakuruhusu hichi kitu, na ndio timu kubwa zinafanya hivo siku zote
Huyu ana wachezaji wazuri wengi ,hawez kumiliki mpira, watetez wake wanasema Sio lazima acheze mpira wa Wenger,
Wanashindwa kuelewa main point,
Mfano Klopp pale Liverpool , hachez tik tak wale total football ,lkn kamwe hawez kuzidiwa ovyo kumiliki MPIRA na middle table teams
Hii ni Rule kwa timu kubwa ,
Timu inaizidi Aston Villa goal difference ya goli moja. Kuna tatizo sehemu, kwa sasa hata kushinda 3-0 ni mtihani.Mkuu huyu kocha hata Arsenal bodi usione ipo kimya haimuelewi ,
Wanaomteteaga sijui wanatumia vigezo gan ,siku hizi hakuna tofaut kisoka kati ya arsenal na middle table teams , kitu ambacho ni hatari sana , Wenger pamoja kuwa na average players wengi hakuruhusu hichi kitu, na ndio timu kubwa zinafanya hivo siku zote
Huyu ana wachezaji wazuri wengi ,hawez kumiliki mpira, watetez wake wanasema Sio lazima acheze mpira wa Wenger,
Wanashindwa kuelewa main point,
Mfano Klopp pale Liverpool , hachez tik tak wale total football ,lkn kamwe hawez kuzidiwa ovyo kumiliki MPIRA na middle table teams
Hii ni Rule kwa timu kubwa ,
Siyo wa kawaida babu huyu mbovuNilishasema siku nyingi humu huyu Unai Emery anataka wachezaji wanaomnyenyekea, wanaokubali kila atakachosema hata kama hakina mantiki. Ukiwa nae kinyume kimtazamo anakuwekea bifu na kukupiga benchi. Ni kocha anayetengeneza makundi ndani ya timu.
Binafsi mbinu zake za ufundishaji nilianza kuzitilia shaka toka aliposababisha PSG kufungwa 6-1 na Barca nikaja kuhitimisha kwa kushindwa kutuwezesha kupata point 4 kwenye michezo 4 ya mwisho msimu uliopita.
Kiufupi huyu kocha ni wa kawaida sana, narudia kusema ni wa KAWAIDA SANA.