Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ukija kustuka ligi imeisha wewe unaendelea kuhesabuNinyi tunawahesabia mechi..
Cheltako mmeifunga timu mbovu epl mnakuja kupiga keleleArsenyeto wazee wa futuhi leo mmebahatisha kagoli kamoja wenzenu huko wanashinda nne halafu mnajidanganya mna timu, washaurini wachezaji waachane na mpira wakalime matikiti
Cheltako mulikaa nusu karne,Toka mwaka 2004 arsenyeto hawajashinda Epl takribani miaka 15 sasa nyie wasindikizaji tu.
Kazi kununua wachezaji wa mafungu mafungu kama nyanya
Pamoja na hivyo lkn hao arsenal ndo making wa london mpk sasa mkuu. Sasa huon kama ni aibu kutangaza mambo ya baba yako hadharani?Toka mwaka 2004 arsenyeto hawajashinda Epl takribani miaka 15 sasa nyie wasindikizaji tu.
Kazi kununua wachezaji wa mafungu mafungu kama nyanya
HahahaBoss kiukweli Granit hakuukwepa ila ile ni instinct reaction akitumaini anaugonga kichwani.
Sikatai mpira ni mchezo wa makosa ila kwenye equation tusiweke makosa kwakua sometime makosa yanaweza yasifanywe so badala yake inabidi tutegemee juhudi na maarifa ya wachezaji wetu. Nelson, Willock na Saka namuamini mno Saka kwakua yeye juhudi na maarifa vimo kushinda hao wawili.
Tuinahitaji ushindi zaidi, yeyote anayetuzuia haina sababu ya kuzunguka naye.
Kwani bro we unaangalia mpira kwa vipande vya picha au video nzima?
UNAI EMERY ALIPEWA MKATABA WA MISIMU MIWILI TU!!!
"Msimu wa kwanza ilikuwa 2018-2019"
"Msimu wa pili ni huu wa 2019-2020"
KWA MPIRA UNAOCHEZWA ARSENAL SASA HIVI HATA MANAGEMENT YA TIMU ISHALIONA SWALA HILI
LA MPIRA MBOVU SEMA TU IMEKAA KIMYA
"Maana ukiitoa "Liverpool" na "Manchester city"
Miongoni mwa zile timu SABA kubwa
Hakuna timu yenye wachezaji wazuri sasa hivi ambayo inazidi WACHEZAJI Arsenal
Ukianzia kwa timu kama
CHELSEA
MANCHESTER UNITED
TOTTENHAM HOTSURS
LIECESTER CITY
Hizi timu zote wachezaji wake UKICHUKUA MMOJA MMOJA HUWEZI kuwalinganisha na wachezaji wa Arsenal
"Hivyo sasa Hapo kinachofanya kazi ni Planning ya kocha tu"
"UNAI yuko anamalizia msimu wake wa mwisho kwa mjibu wa mkataba wake tusubiri tuone"
""KILA MECHI INACHEZA MPIRA WA KUZUIA
TU
NA KAMA ATAENDELEA KUWEPO SIONI MPIRA AU PLANI ANAYOTUMIA PALE ARSENAL YA KUWEZA KUZIFUNGA TIMU KUBWA PALE ENGLAND HATA KAMA ZITAKUWA KWENYE UBOVU KIASI GANI MFANO NI MAN UNT"
""NASEMA NA NITAENDELEA KUSEMA UNAI HATUFAI KABISA""""View attachment 1225613
Soton ni timu mbovu?Cheltako mmeifunga timu mbovu epl mnakuja kupiga kelele
Acha kuongea pumba wewe ..kocha ndo iyo Unai, beki ndo iyo Luiz, mawings ndo hao akina Pepe wanakimbia kama kuku aliyekatwa kichwa hahah EPL utasikiaga tu Chelsea na Man city akibeba ..hii arsenal labda ashuke malaika kutoka mbinguni ndo mtaeza beba EPL ..lakin kwa hii kikosi mliyonayo aise ...ata carabao hamubebi hahahaha...Cheltako mulikaa nusu karne,
miongo mitano,
miaka hamsini,
miezi mia sita,
wiki elfu mbili mia nne,
siku elfu kumi na sita na mia nane
,masaa laki nne na elfu tatu na mia mbili,
dakika milioni ishirini na nne laki moja na elfu tisini na mbili ,
sekunde bilioni moja milioni mia nne hamsini na moja laki tano na elfu ishirini bila ya kubeba kombe
Kama huijui history ya timu yako nishakupa faida
Sasa wewe ukitoa ngolo kante una mchezaji gan wa maana ?Hivi kaka kwanini unatuletea data za wakina mama ntilie mtaani.
Unataka kutuaminisha timu wachezaji wetu ni bora kuliko wa chelsea ukiondoa auba.
Tumechoka na ushabiki wako maandazi eti Ngolo kante akija Asernal hapati namba.
Arsenal hatujawa bora kiasi hicho unachotuaminisha tumechoka na matango pori.
Huu ni uwendawazimu
Ndio maana tunawapaga majibu yanayowastahili kutokana na ufinyu wa kuchanganua mambo.....jibu halilingani na kilichoongelewaAcha kuongea pumba wewe ..kocha ndo iyo Unai, beki ndo iyo Luiz, mawings ndo hao akina Pepe wanakimbia kama kuku aliyekatwa kichwa hahah EPL utasikiaga tu Chelsea na Man city akibeba ..hii arsenal labda ashuke malaika kutoka mbinguni ndo mtaeza beba EPL ..lakin kwa hii kikosi mliyonayo aise ...ata carabao hamubebi hahahaha...