Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gabriel Martinelli (18) vs. Standard Liège:

• 2 goals
• 1 assist
• 2/2 dribbles completed
• 37 touches
• 4 key passes
• 7/10 duels won
• 3 tackles

The future is bright
 
What a difference the full backs made for Arsenal. Bellerin still on the way back but looked good. I thought Tierney was man of the match. Terrific.
 
Vitoto vya malkia vitasubiri sana hapa kwa martinell lile goli la kwanza inaonesh kazaliwa kufunga.

Namba yake halisi ni LW, lakini anazicheza vzr kabisa CF & RW

Mechi 2

2 goals & 1 assist
Mechi mbili goals 4 na assist 1
 
Kakosa magoli matatu

Krosi fyongo moja.

Pasi fyongo zaidi ya moja.

Komedi ndani ya box 2.

Kwa haraka hizo ndiyo nazikumbuka.
Alafu kamsukuma martinelli alivyo ruka cross iliyopigwa na aubamayeng yaani pepe hamna kitu
 
Kakosa magoli matatu

Krosi fyongo moja.

Pasi fyongo zaidi ya moja.

Komedi ndani ya box 2.

Kwa haraka hizo ndiyo nazikumbuka.
Aisee umeangalia wapi MPIRA,?

Kapiga shuti moja likawa blocked

Jingine wamembana asipite


Pass ametoa vzr tu labda uniletee takwimu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…