Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
dhahiri mkuuSlogan of the day:: Yanini kupoteza nguvu kwa punguani [emoji13][emoji13][emoji13]
Come on you gunners #coyg
Mmh hata mm nimewaza hivo, anacheza attacking football ,Huyu kocha wa Salzburg inabidi tumpe nafasi katika timu yetu pata picha kwa mpira wanaocheza hawa watoto na kikosi cha bajeti ndogo
Mtakuja tuNi Futuhi kweli ni Futuhi[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Huyu jamaa bado anafanya experiment mwaka wa pili sasa. Mwaka wa pili amechokwa utafikiri amekaa miaka 6.sisi tulionza kuishabkia hii team tangu na tangu tunatambua we have players but we don't have a manager mwenye mbinu na kumsoma mchezaj na amtumie vipi ili apate matokeo
#poorUnaiView attachment 1222339View attachment 1222340View attachment 1222341