Maelezo kuhusu Picha juu ya African boy Nicolas pepe. Angalia pcha. Tuje tuzungumze katika jicho là Ufundi. Unamuona pepe anavyopokea mpra angalia wachezaji wa Arsenal mwangalie SAKA, TORREIRA, AUBA walipo .
Tuje Lille namna pepe alivyoweza kuhit IKONE na bwana BAMBA walikuwa wanatengeneza movement kwa namna hiii IKONE anakimbia Uelekeo wa alama ya mshale. Na kuwafanya wapinzani wa Mark na bwana BAMBA anakimbia katika kinyume (opposite) na IKONE hivyo bas hilo genge lilomzunguka pépé usingeweza kuliona. Hivyo pepe anapokea mpra na kuu curls in.
Na pépé angedondosha Mali na kuupokea katika uelekeo wa alama ya mshale magoli mengi ya pepe ni ya movement mikimbio na hivi ndvyo pepe alivyocheza Lille akichagizwa na connection ya BAMBA, IKONE na LEAO na kuweza kushain, pepe ajafunga goli yard 40 akiwa Lille huyu chakubanga spanish EMERY hana Football brain ya kuwafanya watu kuwa deadly ngoja niisubiri connection ya pepe na bellerin katika overlapping labda atafanya jambo kumsaiidia pepe.
View attachment 1221243