Mpaka sasa hivi hatueleweki ni mpira gani tunaoucheza au tunaouhitaji hasa.Arsenal tunakwama wapi?
Sikweli, sijui kwann mnamsakama pepeSaka ni zaidi ya Pepe
Nilisema huyu kocha anatufelisha sanaMpaka sasa hivi hatueleweki ni mpira gani tunaoucheza au tunaouhitaji hasa.
Kuna muda tunacheza mpira wa kujiamini sana wa pasi fupi fupi halafu tunaishia kufanya makosa yanayotugharimu pamoja na kukosa nafasi za wazi.
Kuna muda tunacheza mpira wa pasi ndefu ndefu halafu mashambulizi yote tunayofanya yanakuwa butu yanaishia miguuni mwa maadui.
Kuna muda tunacheza mpira wa kujihami sana halafu tunampa kazi nzito goli kipa wetu.
Sasa kama timu yenyewe haina mfumo wowote iliyoweza kuu master na kuutegemea kupata matokeo, hapo kukwama hakukwepeki.
Tutaendelea kuwa hivi hivi tu watu wa kubahatisha bahatisha.
Pepe mi nadhani bado ajaadapt na pace ya EPL ila atakuwa poa tu.Saka ni zaidi ya Pepe
Na kocha anachangia sana ,pepe kuto adampt haraka ,Pepe mi nadhani bado ajaadapt na pace ya EPL ila atakuwa poa tu.
Kwa mechi alizocheza positives ni chache mno tofauti na dogo Saka ambaye kila akicheza kuna kila dalili ya kuwa potentialSikweli, sijui kwann mnamsakama pepe
Ni mwalimu anashindwa kutengeneza mfumo aendane nao, pepe ana spid sana , hivo I lazima awekewe watu creative ,
Pepe - It’s not working at the minute but 7 games into a season isn’t enough time to decide someone is a flop. There is quality in this lad, we have to find a way to bring it out(Bellerin will help) and find a way to give him his confidence(open play goal may do it)
Unai ana ego na hii inagharimu kwanzia wachezaji mpaka timu nzima kwa ujumla.OZIL SIJUI KAMKOSEA NINI
Emery to @SkyFootball on why he’s chosen to start Torreira: “He deserves it.”
On Ozil: “Not today. Today I decided on that first XI and that squad.”
Mkuu @AROON unai ni kero kubwa sana kwetu, hajui tu lakini point nyingi anatupotezea asee, hata msimu uliopita tulipoteza game za mwisho kumbe shida ni yeye tu.Nilisema huyu kocha anatufelisha sana
Angalia sub zake zakioumbavu karudia makosa Yale Yale ya Watford ,
Anawaingiza wale watoto wawili hata kupiga mashuti hawawez
Tushukuru tumekutana na timu mbovu
Yaani zile subs hata mimi sijamuelewa kabisa.Nilisema huyu kocha anatufelisha sana
Angalia sub zake zakioumbavu karudia makosa Yale Yale ya Watford ,
Anawaingiza wale watoto wawili hata kupiga mashuti hawawez
Tushukuru tumekutana na timu mbovu
Kwamba ile illikuwa ni offside ama? Unataka kusemaje yaani?HAUNA MACHO ya kuona onside & offside
Huyu kocha hapana kwakweliMkuu @AROON unai ni kero kubwa sana kwetu, hajui tu lakini point nyingi anatupotezea asee, hata msimu uliopita tulipoteza game za mwisho kumbe shida ni yeye tu.
Hivi mkuu kuna ugumu gani wa kumweka Xhaka benchi Lt11 aanze km DM,kwasababu Xhaka kwa Guendouz hawezi kufua dafu sasa hivi naona anamtafutia nafasi kwa namna yoyote ile.
Ozil alikaa benchi for Ramsey tulikubali sasa kaamia kwa Lt11,Na hata laca ajiandae unaweza shangaa Auba staika wa kati,Saka anakaa pembeni, Lacca benchi.
Hakika huyu Unai uhuru alioukuta hapa umesha mlevya tayari, na athari zake zimeshaanza kuonekana.Unai Emery wewe ni Head coach sio km AW yeye alikua Manager, huo ndio utofauti, usijione wewe ni AW mpya. Madaraka ya kulevya yatakuondoa tu,Na hapo utapaacha km ulivyopakuta. shwain!
Timu haijulikan inacheza mfumo gani ,dah yaan anabahatisha tuUnai Emery wewe ni Head coach sio km AW yeye alikua Manager, huo ndio utofauti, usijione wewe ni AW mpya. Madaraka ya kulevya yatakuondoa tu,Na hapo utapaacha km ulivyopakuta. shwain!
Kabisa mimi nachukia sana hiki kitu cha kocha kuwa na bifu na wachezaji,Unai ana ego na hii inagharimu kwanzia wachezaji mpaka timu nzima kwa ujumla.
Bodi isipoliangalia hili basi kuna siku tunajikuta tunamaliza msimu tuko nafasi ys 16 sababu ya utashi tu wa mtu mmoja.
Huwa inaniuma sana mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Beki anapambana kufosi Piere awe offside dah kazi kweli kweli
Sema Asno ni vibonde kwa Man united