Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi hii Arsenal amebebwa kwa kiwango kikubwa sana , Refa alitaka Arsenal washinde ila walizidiwa.
Naona nyie mmeupiga mwingi sana [emoji23] [emoji23] kiasi kwmba ni ref tu ndo kawanyima ushindi.
 
Kocha wenu ni kilaza wa mwisho,wale watoto ndio game charger ya kuipa timu matokeo kweli Hahahaha Huu ni utani kwenye mpira.
 
Mechi mbovu kishenzi sielewi tunataka Nini hasa!! No plan yaan
naanza kummisi Wenger tunapigwa ila unaona tulichokicheza!
Emery mbuzi tu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…