Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ningekuwa mimi ndio kocha Leo ningepanga kama ifuatavyo.

Leno
Chambers, holding, papa, Tierney
Guendouzi, torreira, Xhaka
Ceballos
Pepe, auba

Sub zangu ningekuwa na ozil for ceballos
Martinelli for pepe
Saka for ceballos

NB: Sub zitategemeana na matukio ya uwanjani such as injuries, underperformance, goal seeking.
Kikosi kizuri sana hicho,

Akipanga hivo itakuwa poa

Tatizo emery atamuanzisha nje lt11 , wale man u tukiwadaka kiungo, na kule mbele na kas ya pepe na auba wanakwisha mapema
 
Emery amesema atamchezesha AML badala ya Bellerin, hii ni habari mbaya kwangu
Bellerin asianze hata Holding pia, hawa wametoka kwenye injury za muda mrefu, na mechi kama hii inakuwa na intensity kubwa, tunaweza kushangaa wanarudi injury tena.

Kumbuka bellerin katoka injury akakutana na game yetu vs Chelsea akarudi injury tena.
 
MUN huwa wanakamia sana mechi zetu na mara nyingi wanatuumizia wachezaji asee.

Rashid ile injury aliyompa ROB, it was not fair play for sure, alikuja kumrukia flani hivi thn haikua na ulazima wowote wakufanya vile, mpira wenyewe ulikuwa kwenye sideline huku.
 
Alichofanywa watford na mancity ndo nakufanya wewe
Angalia lakini,kumbukumbu zinaniambia mimi ndio mwenye tabia ya kukufanya wewe mambo jirani yangu aliyomfanya Watford. 😂😂
 
If Tierney is not in the squad tonight why was he not playing in the U23s like Bellerin, as for Özil don’t even get me started, I’m sick of it now.
 
Kheeee kheeeee kheeeee haka katimu kalikoanzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 kana kizazi jeuri kweli,

Yaani wewe ambaye umekaa 50 yrs kupata EPL moja kweli ndio wa kusema haya?aaaaaahhh jamani kweli dunia haipo fair

ITAKUCHUKUA KARNE NZIMA KUWEZA KUMKARIBIA ARSENAL
Naanzaje kujifananisha na gunners mzee. Nyie wachumba tu izo mickey mouse cups zinawapa jeuri? Mimi nina Europe Cups za kucheba
 
P.E.A
Screenshot_2019-09-30-20-03-32.jpeg
 
Old Trafford.

The Theatre of Dreams... and that day Arsenal's dreams came true.

Unforgettable win in 2002. The year we lifted the @premierleague title.
IMG_20190930_201037.jpeg
 
Tetes zinasema emery amemuacha Ozil na KT ,

YAANI emery sijawahi kumuamini kwenye team selection hata siku moja
 
Hahaaaaa nilikuwa napitia sehemu jamaa nao wameweka possible lineup yao yaani hapa nimecheka hatari yaani kama ndio kujilipua ndio hivi basis Muhindi ametisha
Screenshot_2019-09-30-20-13-56.jpeg
 
Back
Top Bottom