Arsenal ingekuwa na players wenye mentality kama
Guendozi
Auba
Tierney
LT11
Tukipata first 11 zenye mentality km hizo tutakuwa mbali..
Geundozi gemu ambazo tulizidiwa vs spurs na vs aston villa yeye ndo gemu alizoonesha ukomavu na kuiyongoza timu kupata matokeo
Auba sina cha kumwelezea tunajua wenyewe upambanaji wake
LT11 nadhani mnafaham shughuli yake japo kocha amekuwa akimtumia sivyo coz uruguay na hata sampdoria alikuwa anakaa mbele ya ile back 4 na kuwalinda na sio box to box au kumweka kama right midfielder emery anakosea sana ila ni fighter anapambana mpaka dakika ya mwisho
Tierney bado hatujamwona sana ila tangu akiwa celtic jamaa ni winner ana ile spirit ya kupambana...mtamwona vzuri leo
View attachment 1219639