Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arsenal were ready to loan him in the summer but Ozil wanted to stay and they may also have an issue again in January as he does not want to leave.
Mkuu na wewe umeliona hili eeeeh!! MUN huwa wanachangamka tukikutana nao tofauti kabisa na game zingine, na kocha wetu huyu tulienae wanaweza wakatuoshea aisee.Haahaha!Huyu Saka kiukweli Pepe akilegea anaweza kushangaa dogo anamzidi katika kuscore na hata kutengeneza nafasi. Kama mambo bam bam wanaweza kubanana wote ile wing ya kulia.
Anyway kesho tunamhitaji Ceballos, Torreira na Guendouz pale kati (Naona Relief Mirszka akitabasamu) Ceballos na Torreira kwakua hua hawasiti kushoot nje ya 18 na De Gea siyo mzuri kwa mipira hiyo. Pia ni wakabaji wazuri, wana speed hivyo wataziba weakness ya Guendouz ambaye yeye ni mzuri kwenye duel na kusprint kwenda mbele.
Back na forward tunajua nani ni nini ila hapo kati paimarishwe. Tufanye 4 3 3 kama Martnell atakaa kati, wing ya kulia asimame pepe, ya kushoto asimame Auba.
Tusijisahau tho tukawaimba mashabiki wao maana Arsenal hua tupo hot ila hawa jamaa hata wakiwa kwenye plane mode wakikutana na sisi hua wanachangamka balaa.
Mustafi bado imani ipo na umri pia una ruhusu, kocha ajaribu tena combo ya mustafi na holding,Tena nahisi Mustafi ndiyo atakua wa kwanza kutafutishwa timu. Ingawa hichi kifaa sijui kilikosea wapi.
Klabu inaweza isirud sokon kutafuta LW iwapo saka ,martinel watakuwa bora zaidi, ila kwa beki itarud maana tayari Luiz ,sokratis umri unaenda na wana mikataba ya miaka miwili tu, hivo upemacano naona ndio target kuu,Mustafi bado imani ipo na umri pia una ruhusu, kocha ajaribu tena combo ya mustafi na holding,
Kwangu mimi sioni umuhimu wa Upamecano ikiwa tuna Holding,Dino,saliba,chambers na Mustafi ni bora kumhitaji zaha aisee.kwasababu kuja kwa UPA kutafanya Holding au Saliba mmoja asugue wakati wote ni wazuri.
Kesho nitafurahi nikiwaona wote hawa ndani View attachment 1218912
Ndugu,Huyu Saka kiukweli Pepe akilegea anaweza kushangaa dogo anamzidi katika kuscore na hata kutengeneza nafasi. Kama mambo bam bam wanaweza kubanana wote ile wing ya kulia.
Anyway kesho tunamhitaji Ceballos, Torreira na Guendouz pale kati (Naona Relief Mirszka akitabasamu) Ceballos na Torreira kwakua hua hawasiti kushoot nje ya 18 na De Gea siyo mzuri kwa mipira hiyo. Pia ni wakabaji wazuri, wana speed hivyo wataziba weakness ya Guendouz ambaye yeye ni mzuri kwenye duel na kusprint kwenda mbele.
Back na forward tunajua nani ni nini ila hapo kati paimarishwe. Tufanye 4 3 3 kama Martnell atakaa kati, wing ya kulia asimame pepe, ya kushoto asimame Auba.
Tusijisahau tho tukawaimba mashabiki wao maana Arsenal hua tupo hot ila hawa jamaa hata wakiwa kwenye plane mode wakikutana na sisi hua wanachangamka balaa.
Hapo kwa Willock ni bora aanze Saka asee.Litakuwa ni jambo la uzuri Emeri pale nyuma akianza na hawa pamoja na David Luiz mbele ya Leno.
Yaani kulia Chambers. na Tierney kushoto, kati Luiz na Holding.
Kati Torreira na Xhaka
Ceballos nyuma ya Aubameyang, Pepe na Joe Willock kushoto.
Mimi nadhani for now hatutamsajili Upamecano, why?? Because yeye ni central defender na position hizo yaani namba 4 na 5 tuko vizuri for the next 2-3 seasons. Saliba, Holding, Mavropanos, chambers na Mustafi. Ukiacha Luiz na Papa ambao wapo aged.Mustafi bado imani ipo na umri pia una ruhusu, kocha ajaribu tena combo ya mustafi na holding,
Kwangu mimi sioni umuhimu wa Upamecano ikiwa tuna Holding,Dino,saliba,chambers na Mustafi ni bora kumhitaji zaha aisee.kwasababu kuja kwa UPA kutafanya Holding au Saliba mmoja asugue wakati wote ni wazuri.
Guendouzi???Litakuwa ni jambo la uzuri Emeri pale nyuma akianza na hawa pamoja na David Luiz mbele ya Leno.
Yaani kulia Chambers. na Tierney kushoto, kati Luiz na Holding.
Kati Torreira na Xhaka
Ceballos nyuma ya Aubameyang, Pepe na Joe Willock kushoto.
Mimi nadhani for now hatutamsajili Upamecano, why?? Because yeye ni central defender na position hizo yaani namba 4 na 5 tuko vizuri for the next 2-3 seasons. Saliba, Holding, Mavropanos, chambers na Mustafi. Ukiacha Luiz na Papa ambao wapo aged.
Lakini mkuu kwa game hizi za league cup na Europa group stages huyu atatufaaBeki kama mustafi ndiyo wanaosababisha arsenal inaonekana mbovu wakuuza tu
Guendouzi???
Ndugu,
Moja ya vitu ambavyo vitatokea kesho ni xhaka yumo kwenye first 11 panga pangua
Lakini mkuu kwa game hizi za league cup na Europa group stages huyu atatufaa
There is no way tunaweza kumsajili zaha for now Castr He didn't do enough to push for the move and we had other options as well.
Sasa hivi pepe tupo nae, amesign long term contract, bukayo saka is coming kwa speed sana. Zaha ndio basi tena, kocha na bench lake wanajua wanachokifanya.