Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi binafsi sijawahi kuvutiwa na Unai Emery hata siku moja,kinachotokea sasa hivi kwa Arsenal hakitakuwa tofauti sana na timu ilivyokuwa kipindi cha Wenger,timu ina wachezaji wazuri na mpira mzuri lakini inakuwa butu...
 
Arsenal siyo timu ya kubadilisha makocha ovyo ila kwa sababu ya uongozi kumpa timu Emery ilikua ni kutafuta unafuu tu. Na ndio inatucost leo.

Mtu kama Mikel Arteta alikua mtu sahihi kabisa kutokana na mambo aliyoyahitaji kuyapata.Yule ndio alikuwa mtu wa kuunda timu na tungemwelewa.

Emery ni chaguo la pili na haya tunayoyaona leo ni madhara ya chaguo la pili (PLAN B ).

Arteta > Emery.(Hata bodi na Wenger pia wanalijua hili). Hahahahaaha!
 
Hakuna cha mihemko,ila ukweli ni kwamba Unai anazingua,unaponda performance ya Mesut wakati unajua fika huyu kocha ndio chanzo cha kuzorota kwa kiwango chake,kamharibu kisaikolojia kiasi kwamba anajiona sio chochote katika timu pamoja na ukweli kwamba anastahili heshima kwa hao madogo wanaochipukia.....


Leo hii mtu kama Mesut kutoka katika usinior mpaka kuwa mchezaji wa CALABAO CUP na hamalizi?na hata anapocheza uwanjani unaona kabisa hana furaha na uso umepoteza nuru,spirit ya upambanaji inaanzia katika mentality yao kisha ndio physically.......mchezaji anapokosa moyo wa upambanaji usitegemee makubwa......

Kiuhalisia katika hao vijana waliopo sijamuona wa kumuweka bench Mesut,

Ubovu wa defence yetu unachagizwa sana na DM maana muda wote kiturubai kipo kwetu,hao mabeki lazma wavuje hata kama angekuwa NESTA na CANAVARO pale nyuma,

Leo unasema suala la kuvumilia DM dah ...aiseeeh hivi DM ni nafasi inayovumilika katka soka?afadhali ukisema striker sawa ,maana unaweza kusema hata CM,RW,LW wanaweza kufunga,katika soka kuna nafasi hazihitaji watu wabovu mkuu?Kipa ,defenders,dm hawavumiliki wakiwa wabovu!!!!!!!unaweza kuvumilia tu endapo utakuwa huna chaguo lingine,lakini watu wa kucheza hiyo nafasi wapo then anawekwa mtu eti tumvumilie hilo suala NI GUMU SANA TENA SANA.....
 
Wakumdrop ni mmoja kati ya Xhaka au Gunduz, Lt11 na Ceballos hawatakiwi kukosa game yoyote hapo na wakiwepo atleast mid itakua imebalance.Masuala ya kutuwekea watu waprogress hatuhitaji sisi tunataka kazi tu sasa, kuprogress ni Europa na carabao cup sio Epl.
 
Mimi ni Arsenal fan kama wewe. Hivyo naitakia timu mafanikio pia.

Ozil kua homa za vipindi hajaanzia kwa Emery. Ospina alimuelezea jamaa performance yake.

Tumewakosa Bellerin na Holding, Tierney kaja huku yuko majeruhi the whole time kocha anafight kuweka formation za kuficha gapes za mabeki.

Sasa leo Aston na Wat wametutoa jasho, kiukweli ni aibu. Ila nani aone aibu? Man C aliyepigwa na Norwich huku ana kikosi cha gharama au Totenham aliyetolewa carabao huku Son, Dele na wengine wapo ndani? Na akiwa amesajili vilevile.

Kama ataondoka kisa falsafa sawa mi sina neno hata kidogo.
 
Mifano yako ni hewa, unamzungumzia man city aliyepigwa na Norwich ambaye kuja kufungwa inaweza kutokea mwakani,

Unafananisha na Timu ya emery ambayo hatujui hata mech 5 mbele tutavuna point ngap?
 
Mimi binafsi sijawahi kuvutiwa na Unai Emery hata siku moja,kinachotokea sasa hivi kwa Arsenal hakitakuwa tofauti sana na timu ilivyokuwa kipindi cha Wenger,timu ina wachezaji wazuri na mpira mzuri lakini inakuwa butu...
Yaan bora Wenger hakuwa na WACHEZAJI wazuri wengi magarasa lkn alicheza mpira wakueleweka
 
Swali kwako Mkuu Kocha anapanga mfumo kulingana na wapinzani anaoenda kucheza nao au anapanga mfumo ambao ili kuwachezesha wachezaji anaotaka ili washinde match?
Kocha anatakiwa apange mfumo utakaokuwa rafiki kwa wachezaji , wachezaji wakielewana tayari timu inakuwa rahisi kujua hata madhaifu,

Leo Emery kila mech anakuja na 4-3-3 ,4-2-3-1 ,4-3-1-2,4-4-2 hii imepelekea wachezaji kuto perform vzr, mfano ceballos ni mzuri namba 8 na LW , lkn kocha kwakubadili mifumo utakuta kesho anacheza namba 10 ktk 4-3-1-2 anapotea ,

Angalia klopp amestick na 4-3-3 ,hawa distable wachezaji ktk namba zao,

Nilimfatilia lampard alianza na 4-2-3-1 akaja akabadilika akacheza 3-4-3 ili kumu accommodate Alonso ili acheze Wingback lkn hakuharibu role za wachezaji wengine,

Kante ,tamy, n.k wakacheza kwenye majukumu yao Yale Yale kama wanavyocheza kwenye 4-2-3-1 ,
 
Hoja nyepesi nyepesi.....haziwezi kutosha kumtetea Unai,na kusema kuwa Emery ana mafanikio arsenal kuliko Wenger ndio unazidi kunipa wasiwasi na unachokitetea,leo unaponda soka la pasi lililokuwa linapigwa na Arsenal!!!!!!kwa kusema halikutusaidia ARE YOU SERIOUS mzee?????rekodi ngapi tamutamu zilizowekwa kupitia Arsenal ile ikiwemo ya UNBEATEN?????dah mkuu tulia kidogo nahisi kuna tatizo mahali
 
MUN hii sio ya kutufunga afe kipa afe beki,Kufungwa na MUN ni kitu kinanikera sana siku huwa inaharibika kuliko asee.

Na game zetu za OT na hawa mabwana(van gaal na wale watoto kina Depay...alitufunga 3-2 sikuamini) sijui waga miujiza hata tuwe form vipi sana sana tutaambulia sare,..Ngoja tuone.
 
Paul Pogba is a doubt for Manchester United's match against Arsenal on Monday Night Football, while Marcus Rashford and Anthony Martial are unlikely to return.
 
Arsenal's five-man leadership group

1. Xhaka
2. Auba
3. Bellerin
4. Laca
5. Ozil

Emery: "Xhaka is mature. He has experience. In the dressing room, the players vote him as first. I trust and believe in him. His challenge is to change opinion, improve and give us help each time." https://t.co/7SVMVIXH0X
 
It's time to pick your Player of the Month for September…

@MatteoGuendouzi
@Aubameyang7
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 @CalumChambers95
@EmiMartinezz1

…who will you vote for?
 
At Colney. Emery confirms his five captains are - in order - Xhaka, Aubameyang, Bellerin, Lacazette, Ozil.
- Says both Xhaka and the club's challenge is to "change the opinion" about him among his critics.
 
Keown on Xhaka being named captain:


"This is a massive call & I think perhaps he [Emery] has got it wrong. This is really going to divide the fans. There are times when Xhaka goes missing in midfield, he’s given penalties away… he must be an incredible character off the pitch!" https://t.co/jVdUtTPy2k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…