Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Uzuri kwasasa hatuwez kuwa kundi la wavumilivu, tunaingia kwenye kundi la kina Chelsea LA kutimua timua makocha wasio na uwezo@AARON unanifurahisha sana, mimi mwenyewe namchukia Unai toka tushindwe kufuzu Uefa kizembe last season na final ya BAKU.
Kocha ndo chizi kwa kushindwa kupanga kikosi makin, luiz ameshaonyesha madhaifu mengi bado una mn'gang'ania unatufuta nn na chambers yuko benchi, unacheza mechi bila DM na dm unae bench unataka n?
Wenger hakupewa hela lkn timu ilipambanaWenger ndo mtu sahihi kwa Arsenal sababu timu haina wachezaji wa maana.
Unajua nyie tumeshawazoea unazi mmetanguliza mbele, hata kama msingekuwa na kante mngekuja na ngonjera kwamba mlikuwa na Hazard hivyo ilimfanya Luiz acheze kiurahisi.
Hamnaga fact mnayoongea zaidi ya kuona kila mchezaji mzuri ni wa chelsea, Nina uhakika Tammy akifunga next match mtasema ni bora kuliko Salah, Auba na Aguero. Haahaha!
Tunawajua vizuri.
Kitu cha kwanza anachofeli emery ,hana tactic wala mfumoPia Lampard anawakuza vijana wadogo. Au uongo mkuu?
Wachezaji wa mafungu ndio wakojeKwani ni uongo mkuu kwamba Arsenal mna wachezaji wa mafungu?
Tatizo ni kocha sio wachezaji uwe unaelewaHata Klopp kawanunua Alison, VVD, Salah, Mane na Fabinho. Hivi Arsenal ina wachezaji wenye viwango hata nusu ya hao niliotaja hapo Arsenal?
Mkuu huyu wenger mjinga kabisa usimsifie kwa sababu hayupo arsenal. Wenger alikuwa anaweka wachezaji bench kwa kusubiria big matches. Wenger alikuwa hafanyi sub mpaka dakika ya 75 hata kama mchezaji anaharibu vipi Uni nae ni mpumbavu wa mwisho kabisa. Nahisi ana chuki na ozil, torreira na lazazette. Hawa wachezaji wazuri lakini hawapendi.Wenger hakupewa hela lkn timu ilipambana
Huyu kapewa wachezaji bado hawez kuwatumia
Hawa wachezaji waliopo sasa angepewa Wenger tulikuwa tunapambana na kina Liverpool na city
Huyu mzee akirudi kwangu itapendeza sanaWenger angepewa hii timu sasa hivi tungekuwa tunapambana na Liverpool na city
Wenger hakupewa sapoti ya kifedha na bodi ,
Huu uongoz mpya ,Wenger angeaumbua sana
Wakati anaondoka alisema Arsenal INA tatizo la DM , akaletwa lt11 ili xhaka akacheze 8.
cha ajabu emery anamchezesha Xhaka DM ,na lt11 hamtaki hata kumsikia ,
Lt11 anachezeshwa Box to box MD tena akitokea sub.
Yote ili gunduz acheze
Mechi 5 kashatumia mifumo mitano hadi sasa
Wachezaji hawaelewi wacheze vipi
Hana wachezaji wa kuanzisha mipira nyuma , anawalazimisha waanzishie nyuma .
Endelezeni ubishi timu lenu bovuuu..Mabeki wanacheza kwa pattern aliyoiweka kocha, hawawezi kufanya tofauti na maelekezo.
Kocha ni mbovu acha ubishi, tunaona makocha wangapi wanawakuza wachezaji wa kawaida wanakuwa wazuri, unafikiri kila mchezaji anayecheza l'pool ni world class? lakini mbona wanapata matokea safi tu whatever it takes.
Huyu kicha mpumbavu sana. Timu inayopata ushindi ndio anaibadilisha.NAWAOMBA ARSENAL FANS MTULIE ,
Lisemwalo lipo na kama halipo laja....unai ana siku kadhaaa...wale kina Raul hawavumiliii ujinga ndo maana wakamuwekea kipengele cha kukatisha mkataba.
ALIPEWA MKATABA WA MIAKA MIWILI AMBAO UNAISHA MWISHON MWA MSIMU HUU
kwa upumbavu anaoufanya , Ndio maana hamsikii hata fununu za kuongezewa Wiki 1 kwenye mkataba wake.
KWENYE MKATABA WAKE ALIWEKEWA KIPENGERE CHA KUVUNJIWA MKATABA MUDA WOWOTE
ANA MKATABA WA £6m kwa mwaka ,
Hivo akifukuzwa Fidia yake ni ndogoView attachment 1209745
Si ndio nawaambia hawa. Eti pattern ya kocha mwenyewe ndio kawaambia wacheze vile.Mfano ile ya juzi, pasi aliyokuwa anapewa Genduzi katikati ya opponents ni Kocha kamuambia huyo Sokratis atoe pasi ya hovyo hivyo?
Sawa Luiz unaweza sema poor team formation, Luiz alikuwa mzuri huku Chelsea akiwa na DM mzuri kama Kante kitu ambacho Arsenal hawana
Mbona JK alishuka daraja na Newcastle United, kumbe wewe ni mzee wa kubeti tu wala huna ushabiki halisi na ArsenaneNihamie Chelsea wakat inashuka daraja
Usimfanyie hivyo Mtoto wa Mwanaume mwenzio bhana, bado ni Mtu tu wala hajawa mmbwaKiukweli Alhamis naombea tupigwe Ili joto lipande Afukuzwe mbwa yule View attachment 1209242
"Kwenye ligi ya Wakulima wa tumbaku "Historia ya huyu kocha mnaijua lakini?
Kwa umri wa miaka 47 ana makombe 9
Style yake au falsafa yake kama ya Lampard ni kushambulia kwa hiyo kuimarisha frontline ni sehemu ya falsafa yake
- PSG 6
- Sevilla 3 - Europa League
Hao akina Pepe na Auba wanatakiwa kufunga magoli mengi yanayozidi mtakayofungwa kitu ambacho sidhani kama Auba mwenyewe ataweza, Pepe kwa EPL hamna kitu pale. alikuwa anafanya vizuri kwenye ile ligi ya wakulima wa tumbaku.
Hao wachezaji walizoea kubambwa bambwa na Wenga hata akija Alegri au Luis Enrique bado watakosana naye kwa sababu hatakuwepo kocha wa kubembeleza kama Wenga au sio mumrudishe Wenga bado hana timu
IPO siku utaniambia pale hakuna kocha ,wachezaji gan sasa aleteweMtamlaumu kocha ila ukweli ARSENAL inatakiwa ishushe injini. Wachezaji wengi hawana viwango vikubwa kama mnavyowapamba.
Nilishauliza wachezaji wa Arsenal ukiwapeleka Man city au liverpool wangapi wataingia 1st Eleven?
Binafsi maoni yangu ukimuondoa Kipa, lacazette, Aub, wengine wanaobaki ni wachezaji wa kawaida sana ila wamechangamka, mbwembwe nyingi kuficha madhaifu yao
Kubalini timu bado inaendelea kujengwa kuingiza wachezaji wenye uwezo mkubwa baada ya miaka kadhaa itakuwa ya ushindani.