Amestuka kwamba wapenzi wameshakuwa tafrani, pamoja na kwamba ameleta stability kimapato lakini Miaka 5 bila trophy ni mingi sana kwa kilabu kama hiki chetu. Tuna imani msimu huu tutapata walau trophies 2, ni kama kusubiri basi muda mrefu kituoni mara nyingi zinatokea bus 2 ama 3 kwa mpigo.:smile:Naona Wenger ameamua kuditch policy ya kupanga watoto....!! Hii mechi yenu nimekosa dakika 60 za mwanzo.
Mechi saa ngapi leo kwa saa za Afrika Mashariki?
tayari mshavua chupi moja bila
huko jukwaa la Arsenal sio Chelsea mkuu.
Huyu Wenger vp tena? mbona amemtoa Denilson badala ya Arshavin?
hatimae nitapumua sasa, ilikuwa veeery frustrating!