Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu anatuharibia timu tuu!.. Mjataba wake ukiisha aende zake!.. Kochà wa kutupa mafanikio ni Maxmillano Allegri na hana timu kwa sasa..
Nilieleza humu toka mech na Liverpool hapa hakuna kocha ,kuna MTU alinipinga vikali

Hii arsenal tunaijua toka tupo darasa la kwanza

KOCHA hana mfumo

Kila mech anakuja na jipya

Hajui awatumie VIP wachezaji

Hajui kusoma mchezo

Hana falsafa

Hajui kufanya sub

Hana first eleven


OZIL ALISEMA HUYU SIO KOCHA , AKAANZA KUMPIGA BENCH
 
BODI HAIWEZI KUVUMILIA UJINGA , TUMEMPA KILA KITU HUYU MBWA UNAI....

*Luis Enrique* looks to join the race and might be the actual replacement for Emery via@skysports.
 
Aaron anakwambia "Muhuni Emery", Haahahaha!

Mimi mwenyewe nimeona huyu ni muhuni kama wahuni wengine.
 
sasa ivi kuna wahuni kwenye timu yako?
 
Ninyi ni wepesi sana kufura mambo yanapoenda mrama. Binafsi sishangai matokeo mliyopata jana kwa sababu mlikutana na timu yenye viungo wazuri waliosumbua hata msimu uliopita. Kwa Arsenal yako ulistahili kabisa matokeo yale.

Kwanza usajili mnaofanya hata haueleweki hasa wa viungo. Mtu kama Ozil anahitaji watu wa maana ili uione sanaa ya mpita. Sasa ukimuwekea Guendouzi sijui kina Xhska hawafanyi supply kwa hiyo huwezi kuona cha maana lakini Ozil uyo mpeleke Man City akutane na kina Gundogan, Feenandinho au Silva utaona moto wake. Kwa jinsi Watford wanacheza mlihitaji mkabaji kama Kante ili kuharibu mipango kwa bahati mbaya hakukua na mtu kama huyo na ndio maana tunashuhudia yanapigwa mashuti 31 yanapatikana magoli mawili 2, nadhani bahati haikua kwao.

Nahitimisha tatizo lenu ni kiungo mkabaji na beki wa kati.
 
TUNA TIMU NZURI YA KUPAMBANIA UBINGWA ILA KOCHA HATUNA

SOON TUNAMTIMUA

NI KOCHA KIWANGO CHA CHINI NIMEKUWA NIKISEMA HUMU, KUNA BAADHI WANANIPINGA


ANATUDHALILISHA SANA
Hauna kikosi cha maana wewe. Una washambuliaji tu
 
Niongezee kitu hapa,Ukitazama mechi zote za Arsenal alizocheza mpaka sasa,Arsenal wakishambuliwa tu mashambulizi yote huwa wanayaokolea ndani ya 18 kwa nini usiruhusu magoli.
 
Usajiri ni mzuri ila mwalimu kiburi ,kila namba kaletewa watu , ila hawatumii anakazana na vitoto
 
Hauna kikosi cha maana wewe. Una washambuliaji tu
Ngoja tulete kocha maana hujui unachoongea , kocha ameletewa DM , hamtumii anakomaa na xhaka kama DM wakati sio namba yake , hampend LT11 Na baadhi ya wachezaji

Kila mechi anakuja na mfumo mpya hadi wachezaji wamechukia

Kwahiyo kwa uongoz wa Arsenal Hana maisha marefu

Sisi wahafidhina tunaomba apoteze mech ijayo Joto lipande atimuliwe

 
Arsenal ina strikers wazur Sana uku nyuma Sasa ,, uchochoro
 
*Luis Enrique* looks to join the race and might be the actual replacement for Emery via@skysports.


“Unai Emery’s contract at Arsenal contains a break clause that can be triggered after two seasons, enabling the club to dismiss him one year early.

“The Times has learnt that the club can invoke the clause without paying up the full value of his contract.”
 
Jeremie Aliadiere on Instagram: “Great to see my old team mate Edu Gaspar yesterday but very disappointed with the result. #coyg
#invincibles @arsenal”. [IG: jjaliadiere] #afc ht
 
Jeremie Aliadiere on Instagram: “Great to see my old team mate Edu Gaspar yesterday but very disappointed with the result. #coyg
#invincibles @arsenal”. [IG: jjaliadiere] #afc htView attachment 1209405
Mtimueni mapema huyo Tapeli wa Yombo Buza ,Unai ni muhuni tu kama wale wahuni wa Ubungo Terminal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…