Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Dah nimecheka sana.Hii comment niliikuta Jukwaa na Man Utd nikasema ngoja niitunze. Na ninazo nyingi za huyu ndugu. Kutwa kuzunguka majukwaa ya wanaume kupiga umbea unashindwa kukomaa na kwako. Buzitata weweView attachment 1208571
Hii comment niliikuta Jukwaa na Man Utd nikasema ngoja niitunze. Na ninazo nyingi za huyu ndugu. Kutwa kuzunguka majukwaa ya wanaume kupiga umbea unashindwa kukomaa na kwako. Buzitata weweView attachment 1208571
Wenzake wakistaafu wanaendaga marekani au China uko lakini yeye kakimbilia kustaafia arsenal ..Yule spy katumwa na Chelsea
Sawa lakini kiongozi uyu Unai mbona kama ligi itamshinda mapema tu?? Wee unaonaje ...tumpe timu Mourihno au tumrudishe Wenger..Tutaweza tu.
Haya makosa ni ya kuyarekebisha.
Ni suala la kuhimili "Pressure", wakiweza hilo Arsenal wana nafasi nzuri mwaka huu.
Eti alipiga hesabu zake akaona Chelsea tuna mechi ngumu hahahahahahahahahHahahahaha naona timu yake inamgeuka sasa ....huyu tumemzoea hata msimu uliopita zilibaki gemu kama sita ivi msimu uishe ..uku yeye akiwa na wolves, Everton, na nyingine kdhaa ...yani alipiga esabu zake akaona Chelsea tuna gemu ngumu akachukulia maisha yatakuwa mepesi kwake lakini aliambulia draw tena kwa awa awa Watford ..zingine alipigwa...
AROON anaongeaga lakini anaujua ukweli kuhusu timu yake ...
Uku Luiz tumepigwa, Pepe tumepigwa, Unai Naye tumepigwa
Sawa lakini kiongozi uyu Unai mbona kama ligi itamshinda mapema tu?? Wee unaonaje ...tumpe timu Mourihno au tumrudishe Wenger..
Akili fupi huyu.Hahahahaha naona timu yake inamgeuka sasa ....huyu tumemzoea hata msimu uliopita zilibaki gemu kama sita ivi msimu uishe ..uku yeye akiwa na wolves, Everton, na nyingine kdhaa ...yani alipiga esabu zake akaona Chelsea tuna gemu ngumu akachukulia maisha yatakuwa mepesi kwake lakini aliambulia draw tena kwa awa awa Watford ..zingine alipigwa...
AROON anaongeaga lakini anaujua ukweli kuhusu timu yake ...
Uku Luiz tumepigwa, Pepe tumepigwa, Unai Naye tumepigwa
Wewe ni mtu wa pili unamtaja Mourinho maana kuna rafiki yangu mwingine amemtaja huyo mazee kama mbadala.
Timu mara nyingi huangaliwa baada ya mechi 10 za mwanzo.
Yaani katika mechi 10 mmepata points ngapi.
Alhamisi tutakuwa Ujerumani kucheza na Eintracht Frankfurt kwenye Europa Cup na baada ya hapo jumapili ijayo uwanjani Emirates kuna points 3 guarantee za Aston Villa.
Hii comment niliikuta Jukwaa na Man Utd nikasema ngoja niitunze. Na ninazo nyingi za huyu ndugu. Kutwa kuzunguka majukwaa ya wanaume kupiga umbea unashindwa kukomaa na kwako. Buzitata weweView attachment 1208571
Duh! Point guaranteed?Wewe ni mtu wa pili unamtaja Mourinho maana kuna rafiki yangu mwingine amemtaja huyo mazee kama mbadala.
Timu mara nyingi huangaliwa baada ya mechi 10 za mwanzo.
Yaani katika mechi 10 mmepata points ngapi.
Alhamisi tutakuwa Ujerumani kucheza na Eintracht Frankfurt kwenye Europa Cup na baada ya hapo jumapili ijayo uwanjani Emirates kuna points 3 guarantee za Aston Villa.
Kwa mfano leo Pepe kaharibu, angetolewa Pepe ulitaka aingie nani? Ni tofauti na timu kama Chelsea Anatoka Pulisic anaingia Willian, Pedro anaingia Odoi. Kante hayupo Kovacic anaperform at a good level, Mount anatoka Barkley anaingia. Tammy anatoka anaingia Batshuay.
Hii ndio Arsenal tulioifahamu