Nipende kutoa lawama kwa Watford wametuangusha hii gemu wangeimaliza kabisa, tuna subiri mauchambuzi ya Aaron Kwanini Watford anataka kufufukia kwetu [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Hahahaha wanalipa kwa mafungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hili fungu linalofata linaeza kuwashinda..
Hahahahahahaha tupo apa kutoa pongezi kwa arsenal kupata draw..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umefika Brother hahahahahahahahah
Akitoka Pepe Si anaingia Unai mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mfano leo Pepe kaharibu, angetolewa Pepe ulitaka aingie nani? Ni tofauti na timu kama Chelsea Anatoka Pulisic anaingia Willian, Pedro anaingia Odoi. Kante hayupo Kovacic anaperform at a good level, Mount anatoka Barkley anaingia. Tammy anatoka anaingia Batshuay.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaandaa nondo za kumtupia lawama Unai. Ngoja.
HahahahahahahahahahaNEW MANAGER
NEW TACTICS
NEW DEFENCE
Same old results
Kwa ajili ya Aroon na mdogo wake WillMmeweka kambi
AhahaAkitoka Pepe Si anaingia Unai mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wanasema Micky alikuwa ni garasa...
Muda unakwenda bro, kama Watford anakutoa jasho hivi ukikutana na Norwich tena kwake itakuwaje....Tatizo la Arsenal haipo kwenye shape katika safu la ulinzi.
Ni hadi hapo vijana Kieran Tierney, Rob Holding na Hector Bellerin watakaporudi na kushika nafasi zao za kudumu.
Sokratis na luiz bado hawajaelewena.
Maitland -Niles ni kiungo ambae alibadilishwa acheze nafasi ya pembeni.
Safu ya Arsenal itakamilika soon.
Matokeo si mabaya kwani hatujafungwa na wala hatujaachwa mbali sana na hao walio juu yetu.
HahahahaFanboys wa Arsenal wako na hali hiiView attachment 1208569
Limetoboka mkuu mpka likazibwe[emoji23][emoji23][emoji23]Lile vuvuzela aroon limeshajipiga ban
Hapo anakuja kujitokeza siku Chelsea inacheza UEFALile vuvuzela aroon limeshajipiga ban
Muda unakwenda bro, kama Watford anakutoa jasho hivi ukikutana na Norwich tena kwake itakuwaje....
Yule spy katumwa na Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23]Luiz tumepigwa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]