Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

From || As mentioned, Elneny expected in Istanbul to complete loan move to Beşiktaş today, there'll be no loan fee.

From || The deal for preferential players between Arsenal & Sociedad won't happen now. The Spanish side will pay Arsenal just €250k (£226k) in instalments.
 
tuondolee hizi takataka zako za kupika maskani na huko katika magrupu ya fesibuku
Sijui kaziokota wapi, maana nilippona eti arsenal deal kit ni £30m per year sikuendelea hata kusoma ,

Wakati tunajua Adidas wanatoa £60m kwa Arsenal kila mwaka .
 
#tbt Mnamo August 1997, Dennis Bergkamp alimaliza wa kwanza, wa pili na watatu katika kinyang'anyiro cha goli bora la mwezi katika ligi kuu ya Uingereza. Anabaki kuwa mchezaji pekee katika historia ya ligi hiyo kufikia mafanikio haya.
arsenal_bongo-20190830-0002.jpeg
 
Unai Emery:

“Nafikiri wote [Aubameyang, Lacazette, Pépé] wanaweza kuanza pamoja na wakacheza, inategemea na maamuzi ya mbinu zetu za mchezo. Lakini Nina matumaini itawezekana.”


TUNA KOCHA WA AJABU HAIJAWAHI KUTOKEA(IN lissu's voice)
arsenal_bongo-20190830-0001.jpeg
 
Group F:

Arsenal
Frankfurt
Standard Liege
Vitoria SC

Fixtures and dates will be released later on today.
 
CLUB 10 DUNIANI

ZENYE WAFUASI WENGI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII, MASHABIKI WENGI, MAPATO MAKUBWA NA THAMANI KUBWA

1. MANCHESTER UNITED

Social Following
Facebook 73.7 million
Instagram 27 million
Twitter 18.9 million
Shirt sales: 2 850 000 (average last 5 years)
Shirt sponsorship deals: £47 million a year
Average match attendance: 74994/75305
Worldwide fans: 650 million estimated
Revenue: £591 million
Club value: £3.127 billion

2. REAL MADRID

Social Following
Facebook 109,1 million
Instagram 69.3 million
Twitter 48 million
Shirt Sales: 2 290 000 (2016)
Shirt sponsorship deals: £61.5 million a year
Average Match attendance: 66204/81044
Worldwide fans: 350 million estimate
Revenue: £589 million
Club value: £3.092 billion

3. FC BARCELONA

Facebook 106 million
Instagram 66.4 million
Twitter 47 million
Shirt Sales: 1 980 000 (2016)
Shirt sponsorship deals: £48 million a year
Average match attendance: 62657/99354
Worldwide fans: 450 million estimate
Revenue: £566 million
Club value: £3 billion

4. CHELSEA FC

Facebook 47.8 million
Instagram 15.3 million
Twitter 12.5 million
Shirt sales: 1 650 000 (2016)
Shirt sponsorship deals: £40 million a year
Average match attendance: 41429/41631
Worldwide fans: 145 million
Revenue: £374 million
Club value: £1.563 billion

5. ARSENAL FC

Social Following
Facebook 37.9 million
Instagram 13.5 million
Twitter 14.1 million
Shirt sales: 1 125 000 (2016)
Shirt sponsorship deals: £30 million a year
Average match attendance: 59295/60432
Worldwide fans: 125 million
Revenue: £426 million
Club value: £1.691 billion

6. LIVERPOOL FC

Social Following
Facebook 32.7 million
Instagram 13 million
Twitter 11.1 million
Shirt sales: 805 000 (2016)
Shirt sponsorship deals: £30 million a year
Average match attendance: 53185/54074
Worldwide fans: 100 million
Revenue: £370 million
Club value: £1.467 billion

7. FC BAYERN MUNCHEN

Social Following
Facebook 50 million
Instagram 15.5 million
Twitter 5.5 million
Shirt sales: 1 500 000 (2016)
Shirt sponsorship deal: £30.39 million a year
Average match attendance: 75000/75000
Worldwide fans: 45 million
Revenue: £514 million
Club value: £2.324 billion

8. JUVENTUS FC

Social Following
Facebook 37 million
Instagram 23 million
Twitter 6.5 million
Shirt sales: 850 000 (2016)
Shirt sponsorship deals: £14.76 million a year
Average match attendance: 38395/41507
Worldwide fans: 27 million
Revenue: £354 million
Club value: £1.113 billion

9. AC MILAN

Social Following
Facebook 25 million
Instagram 5.5 million
Twitter 6.8 million
Shirt sales: 650 000 (2016)
Shirt sponsorship deals: £15 million a year
Average match attendance: 50801/80018
Worldwide fans: 95 million fans
Revenue: £186 million
Club value: £646 million

10. PSG FC

Social Following
Facebook 36 million
Instagram 19.6 million
Twitter 6.8 million
Shirt Sales: 685 000 (2016)
Shirt sponsorship deals: 20 million a year
Average match attendance: 46856/47929
Worldwide fans: 35 million
Revenue: £425 million
Club value: £990 million

SOURCE:- Travel- zeelo 19/4/2019
Haiwezekani kwa mujibu wa wadau wa Arsenal chelsea ni ya juzi inakuwaje na mashabiki wengi kuzidi Arsenal na Liver tusikubali kuna hujuma hapa
 
Emery on Ozil: "With Mesut its the same message to him that I can say to you: We need him – firstly to be consistent in training, to be available in each match. Last week he wasnt ready to play 100%. This week he's getting better with each training session & physically is better" https://t.co/V1Zrngs9Cl
IMG_20190831_004421.jpeg
 
Arsenal wamruhusu Nacho Mnreal aende Real Sociedad na Mohamed Elneny kwenda Besiktas kwa mkopo.

0_FBL-FRA-ENG-ANGERS-ARSENAL-FRIENDLY.jpg


Nacho Monreal beki wetu wa kushoto ambae amechezea Arsenal kwa miaka sita leo amejiunga na Real Sociedad ya Hispania.

Monreal ambae alijiunga na Arsenal mwaka 2013 kutoka timu ya Malaga pia ya Hispania, amechezea Arsenal mechi 250 na amefunga magoli 10.

Mohamed Elneny nae anatarajiwa kujiunga na timu ya Besiktas ya Uturuki kwa mkopo wa msimu mmoja.

Nafasi ya Nacho Monreal itajazwa na Saed Kolasinac ambae anatarajiwa kuanza kama beki wa kushoto kwenye mechi ya jumapili na Tottenham.
 
The Spanish left back joined us from Malaga in January 2013 and made 250 appearances, scoring 10 goals.

During his time with us, Nacho played in his natural left-back position and also in central defence. He won three FA Cups, three Community Shields and played a big part in our run to the Europa League final last season.

A full international since 2009, Nacho was part of the Spain squad at the 2018 World Cup. He’s made 22 appearances for his country.

We would like to thank Nacho for his contribution to the club and everyone at Arsenal wishes him the best for his future.

The transfer is subject to the completion of regulatory processes.
IMG-20190831-WA0013.jpeg
 
*Emery asema David Luiz kichwa, Spurs wajiandae*

Lakini, kocha Emery anaamini Luiz ataamsha dude katika mechi yake ya kwanza ya North London derby msimu tangu alipotua kwenye kikosi hicho cha Emirates. Luiz alijizuia asionyeshwe kadi ya pili ya njano uwanjani Anfield, wakati Mo Salah alipopita mbele yake kasi sana kwenda kufunga bao la pili, kitu ambacho kocha Emery amekipongeza na kusema ni ukomavu mkubwa.





LONDON, ENGLAND.KOCHA wa Arsenal, Unai Emery amesema beki wa kati David Luiz atarudi kwenye ubora wake na kuonyesha makali yake kwenye mechi ya kibabe dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye Ligi Kuu England kesho Jumapili.
Beki huyo mpya wa Arsenal, Luiz aliyenaswa kw Pauniu 8 milioni kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi, amebebeshwa lawama kwamba alihusika kwenye mabao yote mawili aliyofunga Mohamed Salah kwenye mechi ya kipigo cha 3-1 kutoka kwa Liverpool wikiendi iliyopita.
Lakini, kocha Emery anaamini Luiz ataamsha dude katika mechi yake ya kwanza ya North London derby msimu tangu alipotua kwenye kikosi hicho cha Emirates. Luiz alijizuia asionyeshwe kadi ya pili ya njano uwanjani Anfield, wakati Mo Salah alipopita mbele yake kasi sana kwenda kufunga bao la pili, kitu ambacho kocha Emery amekipongeza na kusema ni ukomavu mkubwa.
Emery alisema: “Tunaweza kuzungumzia baadhi ya makosa kwa mchezaji mmoja mmoja. Lakini, pia tunaweza kuyazungumzia maamuzi mazuri ya mchezaji katika mechi. Kwenye ile penalti alionyeshwa kadi ya njano, hivyo kama angemchezea rafu Salah wakati anaenda kufunga bao la pili, angeonyeshwa kadi ya pili ya njano. Hivyo, uamuzi wake ulikuwa wa kutumia akili zaidi.
“Haikuwa rahisi kwake kufanya vile. Amejiunga nasi wiki tatu tu zilizopita, amelazimika kuzoea mazingira kwa haraka sana. Amenifurahisha kwa sababu amefanya uamuzi mzuri sana, ukomavu.”
 
Monreal can leave with his head held high. Excellent servant, underrated by those outside Arsenal. Won trophies and always gave everything for the club. Also continued to play while this transfer played out, unlike some. That goal against City at Wembley his stand-out moment.
IMG_20190831_152352.jpeg
 
Arsenal can maintain 2 points lead at the top.

By beating Spurs tomorrow.
Mzungu wa Premier betting na betting zote wanapiga hela sana kwa watu wa akili kama zenu. Wengine last week waliweka hela "eti" Arsenane angempiga Salah,Mane,Firminho. Na wiki hii tena Mhindi wa betting anapiga tena hela zenu.
N:B.Son amerudi
 
Mzungu wa Premier betting na betting zote wanapiga hela sana kwa watu wa akili kama zenu. Wengine last week waliweka hela "eti" Arsenane angempiga Salah,Mane,Firminho. Na wiki hii tena Mhindi wa betting anapiga tena hela zenu.
N:B.Son amerudi

'Brilliant header'

Southampton 1-1 Man Utd

64 min
 
Back
Top Bottom