Relax mkuu jipange kwa Spurs sasa.Ni suala la muda tu akina Sanllehi na Edu watafanya yao kwa Unai
Midfield inakuwa outplayed halafu mtu anakuambia hajaona tatizo la hao wachezaji waliopangwa kwenye midfield siku hiyo
Mane kacheza mpaka final ya Afcon na anaanza fresh tu ila huku kwetu Torreira hana match fitness hana sijui nini
Kocha mpaka leo msimu wake wa pili huu hana first eleven team
Ni Suala la muda tu Raul Sanllehi na Edu Gaspar wakiongozwa na mtoto wa Kibopa Josh Kroenke watafanya yao kwa Emery
Hahahahahahahahah tena unasisitiza kabisa eti Mark my words.Rekodi yenu ya unbeaten hapo Anfield tunakuja kuivunja, mark my words. Tukutane baada ya mechi.
Aibu sana.sikubaliani na wewe, Liverpool is not that much of a threat, kama uliangalia mchezo wao na southampton utaelewa namaanisha nini kwa squad tuliyonayo arsenal.
Kocha huyu hamna kitu kabisa , hawez kutufikisha tunapopatakaRelax mkuu jipange kwa Spurs sasa.
Sawa mtachukua nyiePamoja na kwamba tumefungwa Liverpool hachukui ubingwa wa England
Kiburi cha Unai kimetuponza,
Pepe ni talented player ,
Laca ana hold mipira , unamuweka bench,
Hivi unai hajui kuwa kumuweka laca kungefanya pepe na auba wapate space za kupenyeza mipira zaid ?
Kwenye midfield Unamuweka LT 11 nje kila siku,
Unamuanzisha Mateo & Willock Anfield kweli ? Wakati
Una uwezo wakuweka kiungo solid cha
Xhaka lt11 ceballos
UNAI hawez kutufikisha nchi ya ahadi .
Baada ya kuona lineup tu, sikuweza kuwa na matumain yoyote ,
Na Jana nimethibitisha Unai sio kocha ni msimamiz wa mazoez,
Umeelewa nilichoandika lkn?Kumbe Xhaka na Ceballos hawakucheza ?
Mkuu Aaron,
Liverpool ni superior team kwa sasa na Arsenal wamefungwa kwa makosa ambayo waliyatengeneza wenyewe.
Mtindo wa Diamond uliacha nafasi kubwa upande wao wa kulia na kushoto hivyo Sadio Mane na Salah hawakuwa na kazi ngumu ya kupenya back 4.
Halafu pia huu ni wakati wa kumpumzisha Nacho Monreal ambae kwa umri wa miaka 33 amechoka.
Sifahamu ni sababu gani za kumweka bench Kolasinac na Lacazette na hawa ndo wangekamilisha ile back 4 na kule mbele kati.
Ila tuwe positive na tukumbuke Arsenal hadi mapumziko walikuwa nyuma kwa goli 1 na siyo 3 kama msimu ulopita.
Liverpool walikuwa ni Superior team na Tottenham hawatakuwa superior team kwetu.
Tusubiri Arsenal Vs Tottenham
Hii ndio fact mkuu, naiheshimu Liverpool ila haikua na kiwango kizuri mechi yetu ya jana. Tactics za Unai ziliifanya timu kuwa ya kinyonge sana. Tukienda Man City na mbinu hizi tutapigwa 8.Huwez kunambia Liverpool ni wazur sana,
vile kama striker wawili tu Auba & Pepe walikuwa wanafurukuta kimtindo je angekuwepo bulldozer wetu lacanyavu jini?
Ingekuwaje?
Xhaka kapambana vya kutosha kati ila anajikuta anacheza peke ake Jana team haina balance .... Wanaomtetea Matteo njoon mwatwambie na nyie .
Halafu mtuambie Matteo anamzid nini toreira wetu sisi tusiojua mpira?
MWISHO TUNARUDI PALE PALE UNAI TIMU IMEMZIDI UZITO,