Tuwe wazalendo kwenye football Liverpool hajafungwa EPL Anfield toka 2017 arsenal hata wangekuwa na Messi ,Hazard, Lewando kupata point 3 haiwezekani ,team itakayovunja hii record ni City tena kwa tabu sana na kupitia mateso makubwaUnai hatufai kabisa
Timu ipo vzr anaanzisha watoto
Kwan Pep na klopp wanapoanzisha DREAM TEAM ni wajinga?
Ujue kwa kocha anaejielewa, partinership ya Xhaka na torreia ndo ilipaswa kufanyiwa kazi kama 1st eleven, then Matheo anakuja kama backup 2nd period hukoooo timu ikiwa imesha relax! Hivi unamuacha Torreira nje mbele ya Matheo,kweli? Sasa et huyu kocha inakuwa kinyume chake, Matheo eti anaingia moja kwa moja 1st eleven tena mbele ya Liverpool?ngoja nicheke kwa uchungu tu
hapa ndio umeongea nini mkuu?Tuwe wazalendo kwenye football Liverpool hajafungwa EPL Anfield toka 2017 arsenal hata wangekuwa na Messi ,Hazard, Lewando kupata point 3 haiwezekani ,team itakayovunja hii record ni City tena kwa tabu sana na kupitia mateso makubwa
hhahahahahahaha ahsante mkuu,hongera kwa ushindi ila naamini bado nina timu nzuri ila kocha muoga sana atatucost kama hatabadilika#Dully Jr. Pole! Wale ndio majogoo hasumbuliwi na matetea au makoo.
Pale Ni machinjioni. Kamuulize Leon Messi.
Jumapili Njema Kaka!
Huu ni uonevu ..munacheza na Spurs tena
Arsenal Hana kawaida ya kusumbuliwa na Spurs
Mmh, Ndombele, sissoko, Eriksen? Msimu huu huyu akilikosa kombe basi anakaa nafasi ya pili. Tunza hii. |
Dah ... We jamaa bhanaPamoja na kwamba tumefungwa Liverpool hachukui ubingwa wa England
nimependa tu hapo uliposema mmepoteza ugenini tena kwa timu bora!kwa kusema haki uoga wa kocha ndio uliotucost ,kocha amejihami sanaaaaaaaaaaaaaaaaa tena kwa kupitia watoto.......gue na willock ile game ilikuwa haiwahusu kabisa...naamini laca,mikhi/ozil na torrera wangeanza ile game tusingefungwa kizembe,na kilichozidi kukera jamaa anaona kabisa ceballos,na willock wameonekana game kuwazidi lakini ameshindwa kufanya mabadiliko mapema....yote ya yote timu ilicheza vizuri hasa dakika za mwishoni lakini pia tumepoteza ugenini tena kwa timu bora kabisa so naamini muda bado upo tutakaa vyema maana timu bado inajitengeneza
ukisema hivyo ndio kipigo kinaondoka?Pamoja na kwamba tumefungwa Liverpool hachukui ubingwa wa England
Xchaka hakuwa fut hivyo gundoz na torreira walistahiliKwa hiyo Aroon machozi yamekulenga lenga?
Msimu uliopita ambao Tottenham hakusajiri alijinyakulia point zake 4 kutoka kwa Arsenal wkat Arsenal alipta point moja tu kwa Tott. Sasa sijui unazungumzia Tottenham ya Vingunguti!? Na hapo Tottenham msimu huu kasajili watu wa maana huku kaArsenal kamemleta Luiz kama beki wa katiArsenal Hana kawaida ya kusumbuliwa na Spurs
Kikweli imenishangaza kumwacha Laca na kumuingiza yule dogoTumefungwa sababu ya kocha
Unai amepewa mzigo mzito, huwez kuacha watu wakazi nje ,unaanzisha u21 ,
Huyu kocha hafai kufundisha arsenal , na wakichelewa kumfukuza , atatufikisha pabaya
Laca mech ya mwisho kafunga , Leo unamuingiza dk 10 za mwisho,
Nje una LT11 , unaanzisha Mateo na willock ili iweje ?
Amesababisha beki izidiwe wakati wamecheza vzr tu,
UNAI hatufai