Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni kweli hii game tungeanzisha kikosi kama alivyokuwa anapanga mwaka jana hawa jamaa wasingeshinda
Sio wazuri kiivyo na hii game itafanya timu isijiamin tena

Mkuu kushinda anfield hapana Labda draw,Liverpool msimu wa 3 huu hajafungwa anfield kwenye epl, timu yenu nzuri sana,hakuna haja ya kumlaumu kocha.
 
Kocha huyu nimemdharau sana leo, sijui alikua anaogopa nini aisee? hahahaha!
 
Kocha huyu nimemdharau sana leo, sijui alikua anaogopa nini aisee? hahahaha!

Mkuu alikuwa anaogopa anfield pale sio mahala salama , msimu wa 3 sasa hakuna aliyechukua point 3 pale anfield kwenye epl,plan ilikuwa nzuri ila pepe kazingua kama nafasi amepata anashindwa kutumia vizuri.
 
Kocha huyu nimemdharau sana leo, sijui alikua anaogopa nini aisee? hahahaha!
Mlikuwa mnapiga kelele wiki nzima hii,Sisi tulikuwa tunawachora tu Arsenal hii haina uwezo wa kuchukua point hata 1 kwenye uwanja wa Moto Anfield,Chezeni viwanja vyote Anfield ni mwisho.
 
Ni kweli hii game tungeanzisha kikosi kama alivyokuwa anapanga mwaka jana hawa jamaa wasingeshinda
Sio wazuri kiivyo na hii game itafanya timu isijiamin tena
Sio wazuri kihivyo?!!

Liverpool waliridhika baada ya kuwapiga zile tatu sasa kama mngekuwa mnarudisha mngepata kipigo kikali zaidi. Baada ya zile goli tatu Liverpool waliridhika. Umeona kazi ya mtu mmoja tu Salah sasa angepiga kazi Firmino pia ?
 
Ujue kwa kocha anaejielewa, partinership ya Xhaka na torreia ndo ilipaswa kufanyiwa kazi kama 1st eleven, then Matheo anakuja kama backup 2nd period hukoooo timu ikiwa imesha relax! Hivi unamuacha Torreira nje mbele ya Matheo,kweli? Sasa et huyu kocha inakuwa kinyume chake, Matheo eti anaingia moja kwa moja 1st eleven tena mbele ya Liverpool?
ngoja nicheke kwa uchungu tu
 
Laca hajawahi kuanza game yoyote Anfield acha kudanganya. Kocha kafeli kwa hilo
 
Yani usajili wa Pepe adi sasa tunalipa kwa mafungu, uyu Luiz ililipwa cash kabisa na bado anachomoa chomoa betri kizembe namna hii ..uyu Luiz tumepigwa kwakweliii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…