Bora hata Luiz hao wengine watatucost sana msimu huu,kwa kweli Huyu kocha hatufai kabisaHuyu kocha ni msenge baridi sana,hawezi kutuwekea vimburula sijui Willnock mechi ngumu kama hii,ni matako sana kipigo kakitaka yeye,yaani unaacha watu wa kazi unatupangia vipuuzi hivi sijui Willnock!!!hata huyo Kipepe mwenyewe na Luiz wote walitakiwa waanzie bench,Shame on Him
Nliyasema tangu huku. Hili ndio lilikuwa tatizoKabisa aisee. Willock?? Against Torreira?? Haya yeye ndio kocha bhana
Ni kweli hii game tungeanzisha kikosi kama alivyokuwa anapanga mwaka jana hawa jamaa wasingeshindaUnai hatufai kabisa
Timu ipo vzr anaanzisha watoto
Kwan Pep na klopp wanapoanzisha DREAM TEAM ni wajinga?
Ni kweli kabisa,hajiaminiUnai mwoga sana kufungwa afu pia anazidi kujionesha yeye ni kocha wa timu ndogo
Unacheza na liva kati unamuweka Willock eti Lacazette yupo nje.
Huu si ujinga?
Leo ushind muhimu
Naitakia ushind mnono Arsenal
My prediction
Liverpool 1 Arsenal 3
Jirani una maneno leoSisi Arsenal tuna majembe ya ukweli ..tuna Luiz, tuna Pepe, tuna Matteo, tuna Cabellos, Tuna Torroera na mengine ya kutisha ..uyu Liver mtoto mdg sana akina Emirates lazima afe[emoji23][emoji23][emoji23]
Na bado hizi ni rasharasha tu subiri kiama kinakujaTumefungwa sababu ya kocha
Unai amepewa mzigo mzito, huwez kuacha watu wakazi nje ,unaanzisha u21 ,
Huyu kocha hafai kufundisha arsenal , na wakichelewa kumfukuza , atatufikisha pabaya
Laca mech ya mwisho kafunga , Leo unamuingiza dk 10 za mwisho,
Nje una LT11 , unaanzisha Mateo na willock ili iweje ?
Amesababisha beki izidiwe wakati wamecheza vzr tu,
UNAI hatufai