Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Bado nalia na Unai na msimu huu akizingua afukuzwe
Mpaka sasa hajui nan aanze nan akae nje , hana first eleven,
Mahitaji yake aliyohitaji kapewa kwa 80% ,
Kwanini anapanga kikosi kwa kubahatisha sana,?
Ngoja tumuone next mechi, Unai ndio kamuharibu LT11 Mara amchezeshe hivi Mara vile, leo atakuja na 3-4-3, kesho 4-3-3, Mara 4-4-2 , awali toreira alifanya vzr kwenye 4-2-3-1 akiwa mchezaji bora mech 4 mfululizo, anaanza kumchezesha kwenye 4-3-3 tena kama box to box ,
Away Games anaanza na 1 straiker , home anasema machine zote ,
Anawachezaji wazuri kwasasa kuliko Wenger ndan ya miaka 10 ya Wenger's era, lkn unai hajui asimamie wapi ,awe na mfumo gani,
Amekuwa hajifunzi, anapocheza na double straikers Laca na auba ,anatengeneza uwiano mzuri maana laca ni bull straiker wakati auba ni finisher straiker anayetegemea chances created .
Na rejea mech Dhid ya Liverpool msimu uliopita ,pale emirates kaanza na wote tukatoka droo, anfieled akaanza na auba pekee ,matokeo yake anakuwa mzururaji kule mbele .
Mechi ijayo na Liverpool ipo mikonon mwake ,
Lkn nimjuavyo unai tusubiri miujiza ,una midfield hizi ,Ceballos ,xhaka ,lt11 una attacking Auba laca pepe , bado anasumbuka ,
Emery asitutanie ,