Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal's Raul Sanllehi was named as one of four men by the European Club Association [ECA] to sit on UEFA’s Professional Football Strategy Council for the next four years and will be charged with changing the format of the Champions League.

ECA Statement:

“Our Executive Board appointed the four ECA reps who will sit on the UEFA Professional Football Strategy Council for the upcoming cycle 2019-23. These are Pedro Lopez of Real Madrid, Raul Sanllehi of Arsenal, Edwin van der Sar of Ajax and Peter Lawwell of Celtic.
 
Raúl Sanllehí has been appointed as one of the 4 person UEFA Football Strategies Committee for 2019-23. The other members are Pedro Jiménez (RMFC), Edwin van der Sar (Ajax) and Peter Lawwell (Celtic).

Andrea Agnelli (Juventus) and Nasser Al-Khelalfi (PSG) also make up part of the committee's structure in which their role is to restructure the European competitions (UCL/UEL) from 2024 onwards.
 
Aubameyang: “We are coming to Anfield for revenge” [@FaZeTass] #afc

"That is really our challenge, a good test. For the supporters, for all of us, going there with six points is good. Really our target is to reduce the distance to Liverpool, Manchester City, Tottenham and Chelsea.
IMG-20190819-WA0001.jpeg
 
Sijawahi kufikiri kama Emery ni kocha anayeweza kufanya tukacheza soka la maana. Nafikir aliletwa atuvushe tu kwenye matatizo yetu.

Ataenda kwa Liverpool kujihami tu kitu ambacho sikipendi mm
 
Mimi naamini timu itafungwa mengi kama haitaiheshimu timu pinzani.

Mfano Chelsea alikufa 4 kwa watoto kwa kua overconfident. Arsenal tulikufa 8 kwakua hatukutaka kuheshimu kua kwa kipindi kile timu kama ile hatukutakiwa kuishambulia kwa kujiachia.

Point yangu ni kwamba, tuheshimu ukweli kua Liva ina utatu wa hatari pale mbele. Mane ana spid, Salah ana spid kubwa (kumbuka Bellerin alichofanywa) Firmino hana spid kuwazidi hawa ila analijua goli.

Tukicheza kwa kutoheshimu hilo tutaumbuka. Soton kapigwa 2, sisi tusipoheshimu yatakua makubwa.

Hivyo Arsenal ijitahidi kukaa sana na mpira, ikabe sana, counter attack za kutosha. Liva imeruhusu goli kila mechi waliyocheza hii inamaanisha beki yao bado siyo tamu sana, pia inamaanisha kipa wao siyo mtamu sana vilevile. Hivyo mashuti ya nje ya 18 yawe mengi.

Ila Guendouz, Monreal, Willock na Nelson wakianza hii gemu na Liva ikawaanzisha Salah, Mane na Firmino tutegeemee muujiza kupona.
 
Wakuu, kiukweli hizi ni mechi zinazotuangusha miaka yote, Unai anabidi aje na utofauti kwenye mechi kama hizi na akifanikiwa kwenye hili basi ataweza kuirudisha Arsenal right where it belongs
 
Ingekua kwenye PES halafu mi ni Arsenal na ina hawa wachezaji na ndo nakutana na Liva. Ningetumia formation ya 4 4 1 1.

Beki angekua Luiz, Sokratis, Debuchy na Kolasinac.

RMF angekua Pepe, LMF angekua Ceballos.

DMF angekua Toreira.

CMF angekua Niles.

AMF angekua Lacazette.

CF angekua Aubameyang.

DMF angehakikisha havuki dimba la kati hata kama timu inashambulia.

Beki zingekua zinasogea hadi dimbani timu inapokua inashambulia, CB wawili wanakaa post moja na DMF.

RB na LB ndiyo wangepressure attacks kwa kua nyuma ya RMF na LMF kumpa msaada akipokonywa mpira.

Kipa Leno.

Ila sasa hiyo ni PES kwenye maisha halisi moto unaweza kuwaka ingawa mipango yako ni mizuri.
 
Haahahaaa chief hiyo kweli ni PES mana umemtaja Debunchy hapo wakati kwasasa hayupo arsenal.
Me nadhani kwenye game dhidi ya liverpoor viungo wawe Xhaka, Torreira na mbele yao awe Cebalos, shavu la kulia Pepe kushoto Auba na kati asimame Lacazette. Beki ya kati akae Papaa na Chambers, left back asimame Kolasinac the tanker kulia Maitland Niles (Japo huwa simuamin kwenye kukaba kwake).
 
Kwa Niles akae Luiz. Niles awe CMF
 
Leo nakaa nafasi ya Kwanza.... hizi mbio ni ndefu Sana vitambi kaeni pembeni
 
Haahahaaa chief hiyo kweli ni PES mana umemtaja Debunchy hapo wakati kwasasa hayupo arsenal.
Me nadhani kwenye game dhidi ya liverpoor viungo wawe Xhaka, Torreira na mbele yao awe Cebalos, shavu la kulia Pepe kushoto Auba na kati asimame Lacazette. Beki ya kati akae Papaa na Chambers, left back asimame Kolasinac the tanker kulia Maitland Niles (Japo huwa simuamin kwenye kukaba kwake).
Hapa ushind asubuhi tu, ila emery simuamin mpaka nione lineup
 
Alexandre Lacazette:

"The Premier League has seen a very good Lacazette, but not yet the best Lacazette."
IMG_20190818_080255.jpeg
 
Aubameyang at centre forward this weekend is a no brainer for me. Liverpool play a dangerous high line. Auba and Pepe are always on the move and our midfield has the creativity to pick them out.
 
Josh Kroenke alikuwepo kwenye mchezo wa kwanza wa EPL Emirates. Ndiyo wa nyuma yake ni Metersacker.

#coyg
arsenal_bongo-20190819-0001.jpeg
 
| Lacazette:

“ EPL ime mshuhudia Lacazette mzuri, lakini bado haijamshuhudia Lacazette bora kabisa. Najua Nahitaji kufunga magoli mengi zaidi, nahitaji kuwa na muendelezo katika kila mechi. Naweza kufanya vizuri. ”

#coyg
IMG_20190818_080255.jpeg
 
Joe Willock:

“ Wote tunatokea sehemu moja - Hale End(ARSENAL ACARDEMY) - na wote tunaendelea vizuri. Kucheza karibu na rafiki yangu wa karibu Reiss Nelson ni vizuri. Ndoto imetimia. Naishi ndoto yangu."
arsenal_bongo-20190817-0001.jpeg
 
Auba kulipwa £350k per week

Raul Sanllehi is structuring a deal that will make Aubameyang earn as much as Özil through bonuses should the club qualify for Champions League next season. There is optimism from both camps that an agreement can be reached [Matt Law - Telegraph]
IMG_20190816_172023.jpeg
 
"Remain at Arsenal and they'll make a statute of you here.. Go to other clubs like Manchester United or Manchester City and they'll make you a normal player"

Arsene Wenger to Alexis Sanchez in 2017.
IMG_20190819_192737.jpeg
 
Haahahaaa chief hiyo kweli ni PES mana umemtaja Debunchy hapo wakati kwasasa hayupo arsenal.
Me nadhani kwenye game dhidi ya liverpoor viungo wawe Xhaka, Torreira na mbele yao awe Cebalos, shavu la kulia Pepe kushoto Auba na kati asimame Lacazette. Beki ya kati akae Papaa na Chambers, left back asimame Kolasinac the tanker kulia Maitland Niles (Japo huwa simuamin kwenye kukaba kwake).
Duh babu umepanga kikosi kizuri ila nile na chambers siwaamini kwa pressure kubwa
 
Back
Top Bottom