Arsenal (The Gunners) | Special Thread

naona chamakh ka-dive ,kaanza kuanguka kabla ya contact but it happens.will take 1-1.

PENALTY TO ARSENAL: Chamakh is caught late by Dann and the referree points to the spot. He made a meal of that, did the Moroccan. In fact, he looked to have started to go down before the contact was made.
 
Tulitakiwa tuwe kama 5 - 0 Berbatov kakosa nafasi kadhaa za wazi. Nachungulia kupitia kwenye hii thread yenu.

kuna mshabiki wenu kaniambia hayo hayo amesema ilitakiwa hiwe 5 lol

Ebwana nimemvulia kofia Ferguson kwa kumpiga bench rooney,safi sana kama Wenger angekuwa na moyo kama huo hawa watoto wangeshanyooka zamani sana.
 
Jamaa wamerudisha kudadeki. 2-2.
 
Diaby na chamakh wameshindwa kufanya maamuzi ndani ya box wamebaki wanapasiana tu kweli sie wazembe
 
Hii ligi ya mwaka jamani duh, vigogo hamna kitu Man U binge la mvujo
 
Walcott hajapona vizuri mbona kamuweka benchi?
 
Wilshere kadi nyekundu ,rafu mbaya na kutokana na watu kuvunjika vunjuka refa kafanya maamuzi mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…