OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Hahahahaha kwa mpira mliocheza mpka sasa mna point zetu sita kama sio nne.Nilikwambia nitakunyoa tu kivyovyote vile sasa hivi huna uwezo wa kubeba kombe mbele yangu,kazi iliyobakia ni kuzunguka tu kwenye majukwaa ya watu Hahahahahahahahah
Hahaa.. Burnley umeshindwa kupata CS ukikutana na Chelsea si ndio nitakubabua a kutosha. Bado sijaona mpira endeleeni kupasha chuma chetu kinazidi kupata moto usiombe kikuguse.Mech imeishaje ,nipo kanisani
Sasa uyo arsenal yuko nyumban anashinda kwa tabu namna hii ..basi hichi kikosi ni dhaifu sana..akifiki popote...Unawaza Burnley kuchukua point EMIRATES wewe jamaa kipigo kimekuvuruga.
Mngekua na uwezo mumiliki mpira kama Chelsea sema ndio pumzi hamna lazima mchezee za kutosha.Baada ya miaka 10 kwa mara ya kwanza Arsenal inashinda mechi mbili za mwanzo wa msimu.
Dani Ceballos MOTM
Up next Anfield to Liverpool.
Hii tukitoa sare litakuwa jambo la uzuri.
Mbuzi tu nyieKuna timu unaenjoy kuangalia mchezaji akicheza. Man U wana Pogba, Chelsea walikua na Hazard sasa hivi Pulisic.
Halafu kuna timu unaenjoy kuiangalia yenyewe kama timu nzima. Sasa ndiyo Arsenal.
ArsenalBongeLaChama
Hahaa.. We jamaa bhana eti wavimba machoLet's hope tuna vifaa hatujavichezesha ambavyo vitatusaidia kwenye game na Liva.
Chelsea walipigwa 4. Wavimba macho tukalaumu Kante kwavile hakuanza, true enough mechi na Liva Kante kaanza pale kati pakawa hapatoshi.
Guendouz akianza tunakufa.
Hahaa.. Kwamba sasa ivi ni mwendo wa "ukimaliza kwako unae da kwa jirani yako sasa"Congratulation to my team Arsenal
Ramli tuzihamishihen mtaa wa pili , Chelsea & utd wapigwe ,
Mngekua na uwezo mumiliki mpira kama Chelsea sema ndio pumzi hamna lazima mchezee za kutosha.
Hahahahaha ya msaliti Luiz kaja moja kwa moja na kuingia kweny first XI ya arsenalHiyo ikuonyeshe mchezaji yeyote akitoka Chelsea ana namba ya kuaminika Arsenal. Maana Luiz tangu blunder alizofanya mechi ya Red Bull aliambiwa hatapata namba first eleven kutokana na weakness zake. Lakn naona mmempokea kama shujaa.
Ukiniuliza mimi nitasema alicheza kwakua tulikua tuna options chache.Auba 36 appearances
Iwobi and Torreira 35 appearances
Guendouzi and Leno 34 appearances
Hio ndio record ya appearances ya last season kwa kikosi cha arsenal. Kwa hiyo unataka useme alikuwa anabebwa tu na kocha??
Give the kid space aiseee
Hahahaha kazi unayo. Kocha wenu miyeyusho badala ya kumuanzisha Kante eti kamuweka bench mkala nne, asingeingia mngepigwa wikiMbuzi tu nyie
Kesho nipo na nyie ,sare au kipigo itapendeza sanaHahaa.. Kwamba sasa ivi ni mwendo wa "ukimaliza kwako unae da kwa jirani yako sasa"
Mbona unaleta lugha za matus humu ?Mbuzi tu nyie
giroud ndo mshambuliaji wenu bora etiHahahahaha ya msaliti Luiz kaja moja kwa moja na kuingia kweny first XI ya arsenal
Kweli Chelsea tunajenga wachezaji...
Bas mngekuwa na point hata 1, mnamiliki mpira halafu work done zeroMngekua na uwezo mumiliki mpira kama Chelsea sema ndio pumzi hamna lazima mchezee za kutosha.
Hawa Chelsea wasikusumbue akili , kesho hutawaona hapa ,wiki nzimaHahahaha kazi unayo. Kocha wenu miyeyusho badala ya kumuanzisha Kante eti kamuweka bench mkala nne, asingeingia mngepigwa wiki
Et ndio wanamtegemea awape goli 15giroud ndo mshambuliaji wenu bora eti
Hahahahaha ya msaliti Luiz kaja moja kwa moja na kuingia kweny first XI ya arsenal
Kweli Chelsea tunajenga wachezaji...