Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kuanzia Leo mjiandae kisaikolojia , ninachokupendea hujipigagi ban kama yule mwenzako,Hahahaa.. Hamna hadhi ya kumiliki mchezaji kama huyo.Unadhani comments zenu jukwaa la Manure sijaziona.
Ila kuanzia Leo muwe tayari kujiandaa kisaikolojia , msije kusema hamkuonywa

One hour until kick-off 