Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Pepe in training
Niache kuiwaza Man city na Spurs niwaze ichi kikundi cha waimba taarabu?? Jamaa vip umekuja kuwaje aise?? Ninyi ndo munaiwaza sana Chelsea ..maana nimekutungua fainali bao nne zilizosimama[emoji23][emoji23]Hakuna timu inakunyima raha km Arsenal mkuu, body language inaongea.Chelsea, sisi Arsenal tupo tayari game zote tuchezee kwenu, mana mkija Emirates ni sawa na kuwaonea tu.
No more discussion mkuu, time will tell kikundi cha ngoma ni kipi, tutaanza kesho kujua ukweli.Niache kuiwaza Man city na Spurs niwaze ichi kikundi cha waimba taarabu?? Jamaa vip umekuja kuwaje aise?? Ninyi ndo munaiwaza sana Chelsea ..maana nimekutungua fainali bao nne zilizosimama[emoji23][emoji23]
Uoni mimi ni bora zaidi yako, kukupa Luiz tu umeanza kujitamba utanifunga. Arsenal hii ya Laccazege na Auba sio kitu mbele ya Lampard..
Sio kila kichaa unamjibuNo more discussion mkuu, time will tell kikundi cha ngoma ni kipi, tutaanza kesho kujua ukweli.
Sawa mkuu.No more discussion mkuu, time will tell kikundi cha ngoma ni kipi, tutaanza kesho kujua ukweli.