Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
LS | Arsenal very serious in selling Mustafi this month, Emery dropped him in today's matchday against Newcastle. Mavropanos set to stay and fight for his place. #afc


Piga ramli, ila leo manyua wanakunyoaBest wishes Newcastle. Come on![]()
Lampad anacheza namba ngapi mkuu?Niache kuiwaza Man city na Spurs niwaze ichi kikundi cha waimba taarabu?? Jamaa vip umekuja kuwaje aise?? Ninyi ndo munaiwaza sana Chelsea ..maana nimekutungua fainali bao nne zilizosimama
Uoni mimi ni bora zaidi yako, kukupa Luiz tu umeanza kujitamba utanifunga. Arsenal hii ya Laccazege na Auba sio kitu mbele ya Lampard..
Newcastle lazima aanze vizuri leo.Piga ramli, ila leo manyua wanakunyoa
Niache kuiwaza Man city na Spurs niwaze ichi kikundi cha waimba taarabu?? Jamaa vip umekuja kuwaje aise?? Ninyi ndo munaiwaza sana Chelsea ..maana nimekutungua fainali bao nne zilizosimama
Uoni mimi ni bora zaidi yako, kukupa Luiz tu umeanza kujitamba utanifunga. Arsenal hii ya Laccazege na Auba sio kitu mbele ya Lampard..


yan ushindwe kuwaza mambo ya maana uwaze Arsenal? Utakua haupo serious na maisha.Hapo siyo nyumbani kwake. Huyo ni mchezaji wa Chelsea hapo ni sawa tumemleta kwa mkopo apate uzoefu na ligi. Hafikishi miaka 26 bado akiwa Arsenal.
Unaongeaga muda mwingine utumbo,Hapo siyo nyumbani kwake. Huyo ni mchezaji wa Chelsea hapo ni sawa tumemleta kwa mkopo apate uzoefu na ligi. Hafikishi miaka 26 bado akiwa Arsenal.
Yan tungekua hatuna ban nyie sijui mngekuwaje sa ivi.
Unaiwaza Arsenal unashindwa kuwaza utakipokeaje kichapo kutoka kwa man u Leo na mech zote zinazokuja utakapokuwa unashikilia nafas ya 11Newcastle lazima aanze vizuri leo.

Hahahaa.. Hamna hadhi ya kumiliki mchezaji kama huyo.Unaongeaga muda mwingine utumbo,
Unadhani comments zenu jukwaa la Manure sijaziona.Unaiwaza Arsenal unashindwa kuwaza utakipokeaje kichapo kutoka kwa man u Leo na mech zote zinazokuja utakapokuwa unashikilia nafas ya 11
Hahahhaha kwahiyo mmnamiliki nyie au sioHahahaa.. Hamna hadhi ya kumiliki mchezaji kama huyo.Unadhani comments zenu jukwaa la Manure sijaziona.