Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii sio pre season, hii ni EPL ipo live, kocha anabidi alijue hilo,sio mda wa kutest vipaji huu.
 
Hahahhaha kwahiyo mmnamiliki nyie au sio

Kuondoka kwa luiz kumewavuruga sana, hadi unaota pepe ni mchezaji wa Chelsea

By ze way Leo mnachezea kipigo
Unaikumbuka hii?
IMG_20190811_165024_973.jpeg
 
Willock na Nelson bado wanao muda wa kucheza, ni vema akawapa wazoefu nafasi. Hawa watumike Carabao.
 
Its a makeshift team, Auba hajapewa chakula kabisa, Nelson too eager, Willock sijuwi game nzito kwake? Matteo haeleweki na Mikhi...
Mabadiliko 2 au 3 tunashinda..
 
Back
Top Bottom