Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watani zangu Gooners mmesajili ila mnasikitisha bado beki uchochoro. Nasema mtapigwa tuuu. Na kama kawaida top four ni changamoto kwenu. Ninachowapendea ni kwamba mioyo yenu imeshaota sugu kukosa makombe so maumivu kidogo yanadunda. Naomba niwape pole ya mapema maana hamtaamini mtakachokiona msimu huu kutoka kwa watoto wa OGS timu limekamilika tunabeki iliyosimama inaitwa Big HARRY MAGUIRE halafu hapo kati yupo POGBOOM hakuna kiungo mkali kama yeye Duniani kwa sasa kule mbele tuna GOLDEN BOY THIERRY HENRY MPYA MARTIAL. Nawaonea huruma.
Fikisheni ujumbe huu kwa jirani zenu wasumbufu na wabahili Spurs pia.
Nasubiri mabango ya January UNAI OUT
KLOP OUT NA PEP OUT hapo ndo heshima itarudi mjini. Hahahaha mmepozA kama uji uliolala siku mbili kwenye thermos.
Naona nafas ya 6 mmeizoea tuwahamishie ya 8
 
We jipe moyo tu lkn hali ya timu yako unaijua kimoyomoyo,mjiandae kujambishwa na kina Rushford,Lindgard,Martial na huyo mmasai wenu OGS hatoboi mwezi 12 na mashabiki wa Man mlivyokuwa na mioyo ya plastic,mtasusa sana kuiangalia timu yenu,mpaka sasa mshatimiza miaka 6 hamna EPL na mwaka huu mtaishia kunawa lkn kula hamli.

Wenzetu wameuza makoa wamebakia na visu,nyinyi mmeuza visu mmebakia na makoa,timu huna huyo Magure na Mustafi ,Mustafi bora kuliko Maguire na wachezaji wenyewe wauingereza kama saa mbovu.
 
Cha muhimu kila MTU ashinde za nyumbani halafu tukutane tuone nani mwanaume. Mtapigwa tu na bora sisi miaka sits bila EPL nyie ni miaka mingapi sasa? More than a decade hahaha hahaha.
 
Cha muhimu kila MTU ashinde za nyumbani halafu tukutane tuone nani mwanaume. Mtapigwa tu na bora sisi miaka sits bila EPL nyie ni miaka mingapi sasa? More than a decade hahaha hahaha.
Ukitaka kufika kumi basi ujue 6 ulishaipita na nyie ndipo mnapoelekea ,ngojea niishike ID yako alafu tutatafutana manake hauchelewi kujipiga Ban,Man zamani we sasa hivi timu huna.Unatupigia makelele na Forward yako ya Rashford,Lingard na Martial ,hapo bado akiumua Pogba basi shughuli imeisha,TIMU HUNA ,endelea kujipa moyo kwani Safari ya matumaini ishaanza.
 
Arsenal are expected to be without several star players for their trip to Tyneside on Sunday, with only some players being ruled out by injury.

Mesut Ozil and Sead Kolasinac are not expected to be part of the Gunners’ squad for the Newcastlegame because of "further security incidents".

Arsenal predicted line-up vs Newcastle

(4-2-3-1): Leno, Monreal, Sokratis, Luiz, Maitland-Niles; Torreira, Xhaka; Mkhitaryan, Willock, Nelson; Aubameyang

Arsenal-team-news-Predicted-line-up-vs-Newcastle-2001272.jpeg
 
Luiz on his games against Arsenal:

"Always tough games, always big games, always big rivals & always games to enjoy. I was always excited to play big games & still love to play in these big games. I’m happy now I can have Lacazette & Aubameyang on my side so its much easier now!" #Auba #Lacca #Afc
 
Kutoka source zangu za chini ya kapeti naambiwa Auba na laca wamesaini mikataba ,na kila mmoja atapata approx. £250k per week

Siku si nyingi klabu ita comfirm
 
Thought Willock might have started in the midfield two with Xhaka tomorrow, but now with Ozil out, can see him playing at No.10, probably with Guendouzi next to Xhaka. Mkhi and Nelson out wide and Auba as the striker. Back four of AMN, Chambers, Sokratis, Monreal. https://t.co/BNq5CTPtDp
 
*Emery Tells Mustafi He Can Leave Arsenal*

Unai Emery admits he has told Shkodran Mustafi that he can find a new club.

Arsenal’s head coach has used the German defender sparingly during pre-season, with Calum Chambers now ahead of him in the pecking order.

“I spoke with him when we finished last season,” said the Spaniard. “I spoke with him when we started pre-season and I spoke with him also two weeks ago saying maybe there was the possibility he can leave.

“We decided to be more competitive in each position, at centre-back with David Luiz, with another player in the middle with (Dani) Ceballos, with Kieran Tierney, with (Nicolas) Pepe.

“I think being more competitive we can respond better in the season. Some players maybe they can play less with that situation and can leave.

“But it’s one decision taken with the player, with the club, with the team. At the moment he [Mustafi] is here and really if we need, he plays with us. I have confidence he will do well.”
 
True, next season tutaangalia kwa Pepe, bdo ni kijana mdgo anaitaji kubeba makombe. Then baad ya misimu mitano/sita tutawarudishia.
IMG-20190810-WA0000.jpeg
 
Back
Top Bottom