Unfortunately for Arsenal - the party's over and you better accept it soon. May be you will scramble into a fourth place finish, but that is not certain as well.
Why is Wenger the only person in the Premier League that doesn't realize that Arsenal needs an experienced striker.....and a world class/proven GK??
Last time I checked, games are won by scoring more goals than your opponent, not by playing "an attractive football"!
Mkuu umeangalia mpira au kusimuliwa?
Mkuu, hata kama mmecheza ''vizuri'', you have nothing to show. Ruthlessness mbele ya goli ndo mpango mzima, sio mambo ya ''chenga twawala'' au ''tumewakosa kosa''
......Bila referee kuwa biased/kuhongwa hakukuwa na goli!
Broda Wacha1......acha hizi banaaaaaaa!
Broda Consultant ... ..... .... hupendi ukweli usemwe?
Endelea kulialia kama kawaida yako, sisi tunakusanya pointi.Yaani mkifanya fujo na kubebwa ndio halali? Naongelea mpira jinsi ulivyochezeshwa siongelei habari ya kukosakosa wala nini? Bila referee kuwa biased/kuhongwa hakukuwa na goli!
Mimba inapoharibika, waungwana huwa hawaulizi ''eti, alikuwa wa kiume au wa kike!?....''.
So, songa mbele mkuu, after all, ni mechi ya 7 tu!
Endelea kulialia kama kawaida yako, sisi tunakusanya pointi.
Hakuna anayelia hapa tunaeleza facts tulizoziona ndio sababu ya Forums kama mkishinda kiuhalali tutawapongeza sio kubebwa I'm sorry? Tunaona jinsi mnavyoporomosha matusi hapa. Yaani hiyo kuwa Mafioso sio mtukane watu lakini ndiyo tabia yenu, you never win without a controversy.
Hakuna anayelia hapa tunaeleza facts tulizoziona ndio sababu ya Forums kama mkishinda kiuhalali tutawapongeza sio kubebwa I'm sorry? Tunaona jinsi mnavyoporomosha matusi hapa. Yaani hiyo kuwa Mafioso sio mtukane watu lakini ndiyo tabia yenu, you never win without a controversy.
Didier Drogba is Arsenal's tormentor again as Chelsea tighten their grip at the top of the Premier League
Huko kuonewa umeona peke yako? Mbona wenzio wote wamekubali kufungwa kihalali (including your own coach, Wenger). Acha hizo, siku mojamoja uwe unakubali kufungwa, bitter loser.
. .... ..... .... the first goal was a foul on Song from Ramieres – 100 per cent foul
Maneno ya Wenger haya hapa wacha uongo, mkubwa wewe sasa