Hivi club kwanini zinapenda last minutes deals? Jana walikuwa wapi wasilete offer.Wamechelewa wameleta bid ya 40 dk 9 kabla dirisha kufungwa
Hivi club kwanini zinapenda last minutes deals? Jana walikuwa wapi wasilete offer.Wamechelewa wameleta bid ya 40 dk 9 kabla dirisha kufungwa
Walienda kwa zaha wakagonga mwambaHivi club kwanini zinapenda last minutes deals? Jana walikuwa wapi wasilete offer.
Mkuu Chelsea ndo kiranja wa London, ni nan asiyejua? Nyie historia inawabeba tu lakini anayeibeba London mabegani kisoka ni Chelsea. Spurs amesha take nafasi yenu..ninyi kuingia uefa tena ni mpka mubebe EuropaShida yako we jamaa mahaba yamekuzidi, nikwambie tu kama ulikua hujui Chelsea ni timu ya kawaida sana, we unaichukulia kama ni level za Barca na Real






nonsense, subiri ligi inaanza keshokutwa, remember you have lost your key players with no replacementMkuu Chelsea ndo kiranja wa London, ni nan asiyejua? Nyie historia inawabeba tu lakini anayeibeba London mabegani kisoka ni Chelsea. Spurs amesha take nafasi yenu..ninyi kuingia uefa tena ni mpka mubebe Europa
La siivyo mutabaki uko uko.
Sisi tukishawatumi wachezaji vya kutosha musijali tutawapatia tu![]()
Afadhali..Usajili news!!
Everton agree Alex Iwobi Deal
Ni dakika za mwisho kabisa jamaa wameweka mezani 40M
Yeah but deals are being finalised, we have only 23 minutes to goDilisha vp lisha fungwa au?