DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Hakika
Hata dili la Coutinho aliyeharibu ni Madrid kumtaka neymar, hawa wahuni walishalimaliza
Hata dili la Coutinho aliyeharibu ni Madrid kumtaka neymar, hawa wahuni walishalimaliza



Hahahaha......umenifanya nicheke. Kuna watu wanatamani kufanya kama Arsenal kipindi hiki ila ndio uwezo hawana.David luiz To Arsenal kwenye £45m imetoka Cash 8 toa 25 ya Tierney Toa 10 .5 ya Pepe inabaki 1.5
Hii £1.5m tunashusha coutinho usiulize anakujaje
Kwako Raul & Edu GasparView attachment 1175293
Hii kule primary school tuliitaga MAGAZIJUTO.....David luiz To Arsenal kwenye £45m imetoka Cash 8 toa 25 ya Tierney Toa 10 .5 ya Pepe inabaki 1.5
Hii £1.5m tunashusha coutinho usiulize anakujaje
Kwako Raul & Edu GasparView attachment 1175293
Unaacha rugani unachukua luiz!! Si udwanzi huo




mnapenda vitu vya bei chee
| Eddie Nketiah is on his way to Leeds for a medical. Great loan move for him.Acha kuteseka mkuu, hiyo ni short planmnapenda vitu vya bei chee
|| Juventus have agreed a 2yr loan deal for Daniele Rugani with Arsenal. Personal terms with the player have also been agreed.""Mchezaji gani ataacha timu ya maana aende Arsenal"", unaikumbuka hii mkuu uliongea juzi hapa???mnapenda vitu vya bei chee
Aliletaga mboyoyo humu et kwa £45m tutasajiri nn""Mchezaji gani ataacha timu ya maana aende Arsenal"", unaikumbuka hii mkuu uliongea juzi hapa???
Shida yako we jamaa mahaba yamekuzidi, nikwambie tu kama ulikua hujui Chelsea ni timu ya kawaida sana, we unaichukulia kama ni level za Barca na Realmnapenda vitu vya bei chee

https://t.co/IQISssnW1yLove is blind mkuuAliletaga mboyoyo humu et kwa £45m tutasajiri nn
Real?From|| Juventus have agreed a 2yr loan deal for Daniele Rugani with Arsenal. Personal terms with the player have also been agreed.