Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nataman niongelee lkn nadhani weng watakuwa wamelipenda hili deal na pengine zaid ya madeal yote.


Au likawa LA pili kati ya sita .


Kwa upande Wang pepe is the best,

luiz is a good signing.... Ana kitu kimoja kinaitwa leadership na anajua kufanya vzur hapa.... Huyu n beki mwenye kuanzisha mashambulizi na mpiga mipira mingi ya uhakika miongon mwa mabeki waliopo dunian kwa sasa.... Ana fighting sprit ake iko high sana... Anajua kudrible ,switch kwa angle zilizo sahii na kwa muda sahii.... N moja ya mabek wanaojua kusense danger na hili tulilikosa kwa muda sasa mabek wetu huwa hawawez kusense hatari...ila luiz kidogo anauwezo japo sio mkubwa ila huwa anasense danger .
Na mwisho nadhani tumepata beki mpiga freekick ....

Yaan anaondoka koscienly anakuja luiz wamefanana baadhi ya vitu vingi ila luiz ana potential ya kuscore dead balls,freekick na kudrible ,kuanzisha mashambulizi ya maana zaid ya boss6

Kwa arsenal MTU anayeweza kuanzisha mashambulizi alikuwa n mustaf pekee nadhani kaongezewa MTU kama atacheza nae ...

*Ila* niwakumbushe pia kuwa luiz sio bek mzuri sana pale kwenye marking hapa anahitaji acheze na MTU kweli maana yeye akili yake anawazaga kucheza sana mpira kuliko kukaba.


Luiz n beki ambaye anaweza pia kutumika kama kiungo mkabaji kutokana na uwezo wake wa kumiliki,kucheza na nguvu alizo nazo za mpira.


I wish him the best.... Ngoja tuone kocha atampanga na nan

AROON ze Gunnerz
IMG-20190808-WA0091.jpeg
IMG-20190808-WA0090.jpeg
 
David Luiz takes the number 23 shirt, number 6 saved for January signing, Upamecano.
IMG-20190808-WA0092.jpeg
 
ogopa upande wa defence labda emery ameamka vibaya akapanga kikosi cha defence kama hivi "maitland niles,mustafi, david luiz na kolasic" aisee hiyo siku arsenal fans watalajie goli muda wowote
 
Belle luiz holding kola

Niles luiz sokratis KT

Belle luiz holding KT

Niles Luiz sokratis Nacho

Belle holding luiz KT
IMG_20190808_222511.jpeg
IMG_20190808_222502.jpeg
IMG_20190808_222247.jpeg
IMG-20190808-WA0091.jpeg
 
Mbwembwe nyiiingi af msimu mkianza mnaanza kumtukana kocha
Tulizeni vipapa wapwa muwe mnasajili kwa akili kusajili magarasa wengi sio kuchukua ubingwa na top4 mtazd kuisikia redioni
 
Mbwembwe nyiiingi af msimu mkianza mnaanza kumtukana kocha
Tulizeni vipapa wapwa muwe mnasajili kwa akili kusajili magarasa wengi sio kuchukua ubingwa na top4 mtazd kuisikia redioni
Manchester United are back in talks to sign Mario Mandzukic from Juventus as a replacement for Romelu Lukaku, according to Sky in Italy. #DeadlineDay
 
The Guardian say Everton have completed the transfer of Alex Iwobi from #Arsenal more than two hours after the transfer window closed.
 
Back
Top Bottom