Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Tayari limeshafungwadirisha la usajili linafungwa saa ngapi?!
Tayari limeshafungwadirisha la usajili linafungwa saa ngapi?!
Wameleta dk 9 kablaUsajili news!!
Everton agree Alex Iwobi Deal
Ni dakika za mwisho kabisa jamaa wameweka mezani 40M
Wameleta dk 9 kabla
Wishing him All the best in his new clubIwobi to Everton
Everton have signed Arsenal winger Alex Iwobi for a few in the region of £35-40m #EFC #AFC
Tunatambulisha mmoja mmoja mkuuKwaio usajili wa luiz umewezekana au umeshindikana?
Iwobi off to Everton. Ornstein + some other reliable ones have confirmed. £35-40m reported. Wish Alex Iwobi nothing but the best, Everton are getting themselves a really talented player who could play in a variety of roles.View attachment 1175793
Kiukweli hili dirisha Tumejitahid , ni mwanzo mpya ,Yaani jambo moja la msingi hapa ni kwamba Arsenal wanafunga dirisha la usajili kwa 40M in the bank!
Hizo ni pamoja na zingine za mauzo ya wachezaji wengine.