Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,130
- 7,536
Haahaha! kafungwa arsenal anaumia shabiki wa city, once a gooner always a gooner.Ni shabiki aiseee, ila bado alikuwa anaipenda arsenal. Fainal tulivyopigwa nne na Chelsea aliumia kama mimi tu japo alikuwa anaficha